Kama 70% ya Umeme Wa Tanesco ni wa Gesi, Mbona Maji yanasingiziwa sana?

Upuuzi
 
Huyu sidhan km anajua asemalo
Huo muda wa kujua anao sasa?

Unadhani hata hiyo 65% asilimia anaijua? Hana analoweza hata kuuliza kwakuwa atakaokuwa anawauliza, wamemzidi kila kitu hivyo hana jinsi ila kupokea kama anavyoambiwa!

Anateua na kutengua kabla hajaapisha! Anazungumzia Kenya kukimbilia Burj Khalifa 2023 ilhali walikuwa huko miaka kadhaa nyuma.

Sasa unategemea huyo mtu aseme nini cha kueleweka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…