Kama 95% Hamasa + 5%Ufundi wa Uwanjani = Kuvuka Nusu Fainali ya CAFCC Keshokutwa sawa na niwatakieni Kila la Kheri

Kama 95% Hamasa + 5%Ufundi wa Uwanjani = Kuvuka Nusu Fainali ya CAFCC Keshokutwa sawa na niwatakieni Kila la Kheri

Sawa simba itafungwa so what?
So what?
So what?
So what?
 
Kinachofurahisha timu ikishinda hiyo Jumatato, utashangaa unakuja na mada ya kuipongeza na pia kuimwagia sifa kedekede. Ipende timu yako mdogo wangu wakati wote, hata kama ina mapungufu ya hapa na pale.
 
Wale Waarabu wabovu hakuna Timu mule Simba itashinda ikitulia na wanaweza kupita nilichogundua ligi ya Misri sio kubwa kama tulivyokua tunaaminishwa ile Timu kwenye ligi yao ipo juu ila kiungo anaosha mpira yupo katikati ya Uwanja.
 
Kombe la single moms vibonde wanaruka na kukanyagana , wafu wanaenda kuzikana , wote ni losers ila wachezaji Simba watapambana kufurahisha jukwaa maana ugenini huwa wako kama kuku walionyeshewa mvua, Simba itavuka j5 I guess sina uhakika, al masry weupe tu kama kolowizard , mimi ni uto og, Buza mpalanger maskani.
 
Back
Top Bottom