Kama 95% Hamasa + 5%Ufundi wa Uwanjani = Kuvuka Nusu Fainali ya CAFCC Keshokutwa sawa na niwatakieni Kila la Kheri

Kama 95% Hamasa + 5%Ufundi wa Uwanjani = Kuvuka Nusu Fainali ya CAFCC Keshokutwa sawa na niwatakieni Kila la Kheri

Waarabu watawakunjia Simba kama wale walivyowakunjia Yanga. Yaani waarabu wote wote watakamia bomba kiasi kuwa Kibu Denis, Ateba na Mukwala watahangaika sana kuwapenya waarabu hao bila mafaniko mpaka dakika tisini+10.
Au siyo
 
Ligi gani kubwa kushinda ligi ya misri afrika!?
Team zao zote bado zipo na zinaweza kusonga hatua ya nusu final
Ile ligi kwa afrika iko mbele sana
Rudia tena, team zipi hizo za Misri zilizofuzu zaidi ya Al Ahly?
 
Mimi ni uto og, Buza Mpalanger maskani, aka "saa mbovu ambayo hupatia majira"!! Simba hii mdebwedo wakivuka robo mnivalishe mo cola jezi!!
Nani akuvalishe jezi? We tembea uch* tu na huo mwiko wako behinde
 
Kinachofurahisha timu ikishinda hiyo Jumatato, utashangaa unakuja na mada ya kuipongeza na pia kuimwagia sifa kedekede. Ipende timu yako mdogo wangu wakati wote, hata kama ina mapungufu ya hapa na pale.
 
Back
Top Bottom