Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 4,074
- 6,617
Mh! Nani alishika simu yako?Washamba na Wapumbavu wa Sayansi ya Mpira tuendeleeni tu Kudanganywa na Kuaminishwa ili Tuwatajirishe J'5 Oky?
Vile vizee vyenu vifupi vyeusi vimeonekana jana kwenye media havimtaki meneja wa uwanja kwa kuwa amewagomea kuingiza mbuziš¤£