Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Ni mama zetu sawa, wake zetu pia, huwa tunaenjoy sana mtupapo utelezi ila ni hatari sana hawa viumbe.
Ukiachana na sisi wajamba kunani maanguko ya watu wengi maarufu, matajiri, wasanii wakubwa, wanamichezo pale waangukapo basi asilimia 90 wanawake ndio chanzo.
Kuna wamba wameenda mbali zaidi kuwasomesha hawa viumbe, kuwapangia nyumba, biashara, kuwajengea majumba mazuri, malipo yake sasa.
Sisi tukipenda huwa tunapenda mazima wenzetu wajanja mguu mmoja ndani mwingine nje, hutoshangaa mkeo anafanya maendeleo ya siri bila wewe kujua. Wajanja.
Ndiyo hivyo hatuna namna utelezi tunautaka, watoto pia. Ama kweli hapa Mungu akituweza sisi wanaume.