Kama ajira hazipo Kuna umuhimu wa vijana kwenda kwenye mafunzo JKT?

Kama ajira hazipo Kuna umuhimu wa vijana kwenda kwenye mafunzo JKT?

Meragraphics

Member
Joined
Dec 23, 2024
Posts
37
Reaction score
45
Vijana wengi siku za hivi karibuni wameonesha uzalendo wao kwa kujiunga na Jeshi La kujenga taifa (JKT) kwa kujitolea na kwa mujibu wa sheria pia.

Lakini idadi kubwa ya vijana Hao wanakosa ajira baada ya kuhitimu mafunzo yao na kumaliza mkataba wao jeshini, hivyo wanaishia kurudi mtaani na kuanza kujihusisha na shughuli zilizokinyume na sheria kama WIZI, ukabaja n. K.

Hii imekaaje kama ajira hazipo Kuna umuhimu wa vijana kwenda kwenye mafunzo?
 
Vijana wengi siku za hivi karibuni wameonesha uzalendo wao kwa kujiunga na Jeshi La kujenga taifa (JKT) kwa kujitolea na kwa mujibu wa sheria pia. Lakini idadi kubwa ya vijana Hao wanakosa ajira baada ya kuhitimu mafunzo yao na kumaliza mkataba wao jeshini, hivyo wanaishia kurudi mtaani na kuanza kujihusisha na shughuli zilizokinyume na sheria kama WIZI, ukabaja n. K. Hii imekaaje kama ajira hazipo Kuna umuhimu wa vijana kwenda kwenye mafunzo?
Jibu hili swali mtanzania Mwachiluwi
 
Jibu hili swali mtanzania Mwachiluwi
Ni kweli kwa kiasi fulani mtu anatoka akiwa kachanganyikiwa kapoteza miaka miwili hakuna alichopata anarudi mtaani ana anza upya inaumiza sana mwisho wa mwezi anapata 45 kijana baada ya makato wakati uho wenzake washampita mbali kimaisha inaumiza wanaporudishwa mtaani mtu anatakiwa kuanza upya yaani
 
Kwani huyo anautofauti gani na graduate aliye kosa ajira?
 
Kwani huyo anautofauti gani na graduate aliye kosa ajira?
Wanatofauti sana graduate mwenye akili anajipanga na anatoka na mtaji wa kuanzia maisha ila kijana wakujitolea huwezi pata mtaji kwa posho ya 45k unayo pewa kila mwisho wa mwezi tofauti na graduate anaepewa laki6 kwa awamu mkuu
 
Sasa wafanyeje wakati walienda kwa utayali wao
Inaumiza sana sio kama zamani ujue now imekuwa kama shida flani hivi kipindi cha kikwete majeshi yote yalikuwa yanaenda vikosini mtu anachagua mwenyewe jeshi gani anataka wengine walifanya kufosiwa ila now nitofauti
 
Wanatofauti sana graduate mwenye akili anajipanga na anatoka na mtaji wa kuanzia maisha ila kijana wakujitolea huwezi pata mtaji kwa posho ya 45k unayo pewa kila mwisho wa mwezi tofauti na graduate anaepewa laki6 kwa awamu mkuu
Mm mkataba ulikata wa jkt, nikarudi mtaani, nikafanya kwenye kampuni za ulinzi Ili nipate mtaji wa biashara, Sasa uchumi wangu upo mbali sana
 
Back
Top Bottom