Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Kuna namna wanatakiwa kufanya na wakita kupunguza vijana wanaoingia jkt kutojiusisha na wizi mtaani wasifundishwe matumizi ya silaa uyo kijana natoka jkt anajua kufungua silaa yote na kuifunga upya anajua kulenga shabaa vyema huoni ni hatari?JKT HAIAJIRI
JWTZ HAITOI AJIRA
Sasa mtu una unaweza ukaingia katika taasisi ambayo hauifahamu kweli? 😂
Unanihoji wewe kama nani?Una uzoefu au unaongea kwa mitazamo?
Jambo jema na ulikuwa na mipango mizuri niambie kijana wa darasa la saba bado ana akili ya kitoto utaweza mshauri akaelewa?Mm mkataba ulikata wa jkt, nikarudi mtaani, nikafanya kwenye kampuni za ulinzi Ili nipate mtaji wa biashara, Sasa uchumi wangu upo mbali sana
As memberUnanihoji wewe kama nani?
Wa wapi?As member
Kumbe kuna muda mnala hausomi eet?Wa wapi?
Jiheshimu basi usini quote kama haupo timamuKumbe kuna muda mnala hausomi eet?
Kuzuia kutoa baadhi ya masomo wala haiwezi kua muarubainiKuna namna wanatakiwa kufanya na wakita kupunguza vijana wanaoingia jkt kutojiusisha na wizi mtaani wasifundishwe matumizi ya silaa uyo kijana natoka jkt anajua kufungua silaa yote na kuifunga upya anajua kulenga shabaa vyema huoni ni hatari?
JKT kazi inajielezea mbona ilianzishwa mwaka 1963 lengo ni kujenga taifaNataka kujua.
Kuna dogo mmoja ana ELIMU nzurii alipo potezewa muda enzi za Magu kurudi mtaan wenzake wamepiga A GREAT LEAP siku izi hapokei simuuuNi kweli kwa kiasi fulani mtu anatoka akiwa kachanganyikiwa kapoteza miaka miwili hakuna alichopata anarudi mtaani ana anza upya inaumiza sana mwisho wa mwezi anapata 45 kijana baada ya makato wakati uho wenzake washampita mbali kimaisha inaumiza wanaporudishwa mtaani mtu anatakiwa kuanza upya yaani
Ukitaka kujua kama huwa wanadata waangalie wale suma jkt wakiwa limdo ndo utaelewaVijana wengi siku za hivi karibuni wameonesha uzalendo wao kwa kujiunga na Jeshi La kujenga taifa (JKT) kwa kujitolea na kwa mujibu wa sheria pia. Lakini idadi kubwa ya vijana Hao wanakosa ajira baada ya kuhitimu mafunzo yao na kumaliza mkataba wao jeshini, hivyo wanaishia kurudi mtaani na kuanza kujihusisha na shughuli zilizokinyume na sheria kama WIZI, ukabaja n. K. Hii imekaaje kama ajira hazipo Kuna umuhimu wa vijana kwenda kwenye mafunzo?
JKT kazi inajielezea mbona ilianzishwa mwaka 1963 lengo ni kujenga taifa
Ni kweli inasikitisha sana. Kuna kijana mmoja nilimpambania akapata nafasi ya kwenda JKT. Dogo kapigika kule Cheetah kwa miaka 2. Juzi nakutana naye amepakizwa kwenye guta na mwenzie.Ni kweli kwa kiasi fulani mtu anatoka akiwa kachanganyikiwa kapoteza miaka miwili hakuna alichopata anarudi mtaani ana anza upya inaumiza sana mwisho wa mwezi anapata 45 kijana baada ya makato wakati uho wenzake washampita mbali kimaisha inaumiza wanaporudishwa mtaani mtu anatakiwa kuanza upya yaani
Yupo mwingine aliniomba ushauriNi kweli inasikitisha sana. Kuna kijana mmoja nilimpambania akapata nafasi ya kwenda JKT. Dogo kapigika kule Cheetah kwa miaka 2. Juzi nakutana naye amepakizwa kwenye guta na mwenzie.
Kwa furaha namuuliza za siku afande, nikijua amerudi likizo ya mwisho wa mwaka. Naona respond ya dogo haipo kama nilivyomchangamkia na nimjuavyo.
Akaniambia mkataba umeisha na wamenirudisha nyumbani. Dogo nilimtoa kwenye bodaboda aende huko sasa amerudi na kuwa msaidizi wa rafiki yake muendesha guta aliyekuwa anapiga naye bodaboda kabla ya kwenda JKT.
Dah, iliniuma sana na nilitaka nilete uzi hapa kulalamika hilo. Wanamapotezea muda watoto wa watu. Waache huu ukuda.
Lakini kwa askari inawezekana sawa ila ni ngumu sana na sheria zipo wazi za jeshi kumuhukumu how service man kashatoboa mkataba kajiunga na majangiri unampataje? Utamuhukumu kwa sheria ya kiraia na sio ya kijeshi tena mkataba wake umeishaKuzuia kutoa baadhi ya masomo wala haiwezi kua muarubaini
Muarubaini ni kutoa mafunzo ya kweli ya kizalendo yatakayowafanya askari kuishi kwa viapo vyao moyoni na akilini
Ujuzi wa silaha sio tu service man anaweza kuutumia vibaya hata askari aloandikishwa anaweza kukengeuka
Kikubwa ni kua na base nzuri ya uzalendo na kuipenda motherland
Ni sahihi ndio maana vipo vyombo vingine vinavyochunga na kulinda nidham za raia na kutoa hukumu za kiraiaLakini kwa askari inawezekana sawa ila ni ngumu sana na sheria zipo wazi za jeshi kumuhukumu how service man kashatoboa mkataba kajiunga na majangiri unampataje? Utamuhukumu kwa sheria ya kiraia na sio ya kijeshi tena mkataba wake umeisha
Ana stress watu hawajui tu ukienda jkt unapoteza mawasiliano kabisa connection ile inapungua so unaporudi mtaani unalazimika iutafuta upya connection na inakuwa ngumu snaKuna dogo mmoja ana ELIMU nzurii alipo potezewa muda enzi za Magu kurudi mtaan wenzake wamepiga A GREAT LEAP siku izi hapokei simuuu