Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Wanajitolea, kwenda jkt si ticket ya kupata ajiraVijana wengi siku za hivi karibuni wameonesha uzalendo wao kwa kujiunga na Jeshi La kujenga taifa (JKT) kwa kujitolea na kwa mujibu wa sheria pia. Lakini idadi kubwa ya vijana Hao wanakosa ajira baada ya kuhitimu mafunzo yao na kumaliza mkataba wao jeshini, hivyo wanaishia kurudi mtaani na kuanza kujihusisha na shughuli zilizokinyume na sheria kama WIZI, ukabaja n. K. Hii imekaaje kama ajira hazipo Kuna umuhimu wa vijana kwenda kwenye mafunzo?
Mimi nimelinda Gard world - diplomatic areas nilikuwa nakamata karibia 1M kasoro na sijapita JKT wala mgamboKabisa
Namsubiri shem 😜Nitakupa dada🤣🤣
Hawazalishi ilo nakataa ila impact inayotokea moja wapo ni iyo baada ya vijana kumaliza muda wao na kukosa lile walilokuwa wanatamani kupata ndio inatokea ivyoKwahiyo unaunga mkono JKT inazalisha ajira ya vibaka? Ndio national service act no 16-17 inavyosema kuwa vibaka wanazalishwa huko?
Vijana wakiingia JKT ndio ajira moja kwa moja?
Nini wanatoa huko?(lengo ni nini)
Mnakosea mnapoleta double standard kati ya watu waliokosa kazi huko jkt na graduates au vijana wasio na ajira mitaani ,tatizo liko pale pale hata mkilipaka rangi za ujkt wala nini , tatizo ni ukosefu wa ajira kwa vijana na hapo ndio mzizi wa tatizo ,hii ya kuzunguka sijui jkt ni upuuzi ,mada iwe tatizo la ajira kwa vijana ,kwani graduates wanaotoka vyuoni baada ya muda mrefu wa masomo kwani wanakuwa na network gani au mtaji gani wa kuanza harakati kitaa ? , Si ndio hawa huwa mnawananga kila siku kwamba hawana akili za kujiajiri ?Ana stress watu hawajui tu ukienda jkt unapoteza mawasiliano kabisa connection ile inapungua so unaporudi mtaani unalazimika iutafuta upya connection na inakuwa ngumu sna
Op MAGU hiyo hiyo , 838kj maramba ,then Chitana mm pia wew ulkuwa op gan boss mm magufuri
Mm niliingia huko kujitafuta, sahivi nipo mbali .. Inategemea na bichwa lakoYaani kama Kuna sehem siyo za kuingia ni kazi za ulinzi
Kikubwa ni kuwa bahiri mana pesa na huruma hawaishi pamojaMafanikio hayana darasa la saba Wala PhD holder.. ni kujituma , na kuwa mbahiri
Katambaa changu cha bakabaka nilikuhonga na wew ukahonga..... Leyla oooooh.... 😂😂🪖🪖Nalilia nini......? 🏃♂️🏃♂️🏃♂️nalilia bakabakaaa ee unalilia nini wewe
Sasa umekataa nini umekubali nini?Hawazalishi ilo nakataa ila impact inayotokea moja wapo ni iyo baada ya vijana kumaliza muda wao na kukosa lile walilokuwa wanatamani kupata ndio inatokea ivyo
Suma JKT haimtoi mtu kimaisha ni utumwa tuMimi nimelinda Gard world - diplomatic areas nilikuwa nakamata karibia 1M kasoro na sijapita JKT wala mgambo
Vijana watz wanakariri maisha Sana na kupoteza muda .
Hivi unafikiri hata ukipita JWTZ jambazi akiseti mipango yako hakupati?
MTU Kama upo na interest ya kulinda ajifunze kiingereza na CCTV camera akimaliza aende G4S , SGA n.k
Leo MTU anakimbilia Suma Jkt anaenda kulipwa 200K
Kumbe wanaenda kufanya nini kuleWanajitolea, kwenda jkt si ticket ya kupata ajira
Hii dunia you need to be opportunisticSuma JKT haimtoi mtu kimaisha ni utumwa tu