Kama alipost picha za maiti na waliopigwa risasi huko Twitter lakini akajiunga na Serikali ya Umoja kwa ajili ya tumbo lake anafaa kweli huyu mtu?

Kama alipost picha za maiti na waliopigwa risasi huko Twitter lakini akajiunga na Serikali ya Umoja kwa ajili ya tumbo lake anafaa kweli huyu mtu?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Alilalamika kuwa maelfu ya wapemba walipigwa risasi na wengi kuuawa baada ya uchaguzi wa Oktoba 2020.

Lakini kwa jinsi navyopenda pesa na kulisha tumbo lake alisahau kuwa kurasa zake za twita zilijaa picha za wapemba waliopigwa risasi na kuuawa na akaunga umoja na aliodai ni wauaji.

Sasa huyu kiongozi anafaa kweli kuwa binadamu?
 
Alilalamika kuwa maelfu ya wapemba walipigwa risasi na wengi kuuwawa baada ya uchaguzi wa Oktoba 2020.

Lakini kwa jinsi navyopenda pesa na kulisha tumbo lake alisahau kuwa kurasa zake za twita zilijaa picha za wapemba waliopigwa risasi na kuuwawa na akaunga umoja na aliodai ni wauaji.

Sasa huyu kiongozi anafaa kweli kuwa binadamu?
Tulia sindano za Zzk ziwaingie nyie sukuma gang
 
Back
Top Bottom