Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ndio maana mtu mmoja alimkiri ya kwamba yeye ni SIMBA WA YUDA!Kwenye ishu ya Corona wakati dunia nzima ikijifungia na kufata njia isiyo sahihi kushughulika na janga lile.
Baba yetu Magufuli alisimama kama kiongozi akaja na njia ambayo dunia nzima sasa inaifata kwenye kukabiliana na corona.
Naamini hata kwenye hii ishu ya mafuta, Magufuli angekuja na njia sahihi ya kusaidia watu wake wasiteseke na ugumu wa maisha unaosababishwa na gharama za mafuta kuwa juu. Angetafuta njia sahihi za kumlinda mwananchi asiumizwe na kupanda kwa bei za mafuta
Magufuli alikuwa na maono sana na aliwapenda watu wake hakutaka kuona wanateseka. Angetuvusha.
Mbona hakusaidia kitu kwenye janga la sukari mwaka 2015/2016 ambapo ilipanda kutoka TSH 1,800 hadi 4,000 na ikawa adimu mnooo. Hadi leo sukari haijaweza kurudi kwenye ile bei ya 1,800 aliyoiacha JK.Kwenye ishu ya Corona wakati dunia nzima ikijifungia na kufata njia isiyo sahihi kushughulika na janga lile.
Baba yetu Magufuli alisimama kama kiongozi akaja na njia ambayo dunia nzima sasa inaifata kwenye kukabiliana na corona.
Naamini hata kwenye hii ishu ya mafuta, Magufuli angekuja na njia sahihi ya kusaidia watu wake wasiteseke na ugumu wa maisha unaosababishwa na gharama za mafuta kuwa juu. Angetafuta njia sahihi za kumlinda mwananchi asiumizwe na kupanda kwa bei za mafuta
Magufuli alikuwa na maono sana na aliwapenda watu wake hakutaka kuona wanateseka. Angetuvusha.
Tatizo kwa majizi mkuu:Mafuta ni tatizo la dunia nzima!
Basi utakuwa nyuma ya historia kwani juzi tu wakati mtu mmoja anakabidhi pikipiki kwa maafisa ugani, Waziri wake wa Kilimo alisema ifikapo 2025 tatizo la sukari Tanzania itakuwa historia. Hiyo ni kazi ya SIMBA WA YUDA ambaye kila kinywa kitamkiri!Mbona hakusaidia kitu kwenye janga la sukari mwaka 2015/2016 ambapo ilipanda kutoka TSH 1,800 hadi 4,000 na ikawa adimu mnooo. Hadi leo sukari haijaweza kurudi kwenye ile bei ya 1,800 aliyoiacha JK.
Aisee wewe ndio msemaji wa kila Mtanzania mpaka ujue yaliyo moyoni mwao ?Magufuli hayupo Chato, baba yetu yupo mioyoni mwa kila mtanzania.
Cheki jizi hiliMfuate Chato, atakutonya tu ,maana wewe kichwani hazimo.
Jiwe angemtuma kabudi tu wachukue mzigo kwa bei rafiki kabisaMagu angetoa ruzuku kufidia kwa muda na ninaamini angeongea na Putin kama India na China tukanunua direct toka Russia... Hangaya hana uwezo huo... anaweza kutoa tu machozi kwa wimbo wa Christian Bella pale Chinangali sio kwa issue za masilahi mapana kwa nchi kama hili.
Kipindi chake ilipanda sukari tu...mijitu ikatoa povu kama imetiwa pilipili... sasa hivi kila kitu juu inasifia na kutetea... pumbavu kabisa
Mtu kama huyu akisikia jina la Magufuli ushuzi unambanaUende tu Chato , usipige chenga.
"Nge" na lile lingine la "Ngali" hutumika kuonyesha uwezekano kitendo kufanyika au majuto ya kutoona kitendo kikifanyika. Kwa kifupi, kuna vitendo au hali mbili zinazotegemena; kwa hivyo hali ya kwanza ikitokea kuna uwezekano wa kitendo cha pili kufanyika.Kwenye ishu ya Corona wakati dunia nzima ikijifungia na kufata njia isiyo sahihi kushughulika na janga lile.
Baba yetu Magufuli alisimama kama kiongozi akaja na njia ambayo dunia nzima sasa inaifata kwenye kukabiliana na corona.
Naamini hata kwenye hii ishu ya mafuta, Magufuli angekuja na njia sahihi ya kusaidia watu wake wasiteseke na ugumu wa maisha unaosababishwa na gharama za mafuta kuwa juu. Angetafuta njia sahihi za kumlinda mwananchi asiumizwe na kupanda kwa bei za mafuta
Magufuli alikuwa na maono sana na aliwapenda watu wake hakutaka kuona wanateseka. Angetuvusha.
Kwanini sasa hatuvushi? Shida iko wapi?Kwenye ishu ya Corona wakati dunia nzima ikijifungia na kufata njia isiyo sahihi kushughulika na janga lile.
Baba yetu Magufuli alisimama kama kiongozi akaja na njia ambayo dunia nzima sasa inaifata kwenye kukabiliana na corona.
Naamini hata kwenye hii ishu ya mafuta, Magufuli angekuja na njia sahihi ya kusaidia watu wake wasiteseke na ugumu wa maisha unaosababishwa na gharama za mafuta kuwa juu. Angetafuta njia sahihi za kumlinda mwananchi asiumizwe na kupanda kwa bei za mafuta
Magufuli alikuwa na maono sana na aliwapenda watu wake hakutaka kuona wanateseka. Angetuvusha.
Mbona hakusaidia kitu kwenye janga la sukari mwaka 2015/2016 ambapo ilipanda kutoka TSH 1,800 hadi 4,000 na ikawa adimu mnooo. Hadi leo sukari haijaweza kurudi kwenye ile bei ya 1,800 aliyoiacha JK.
Mfuate kaburini kwake akakuvushe,limeua watu kwa kusema hakuna covid maelfu wa watanzania walifariki,bladifaken wahedKwenye ishu ya Corona wakati dunia nzima ikijifungia na kufata njia isiyo sahihi kushughulika na janga lile.
Baba yetu Magufuli alisimama kama kiongozi akaja na njia ambayo dunia nzima sasa inaifata kwenye kukabiliana na corona.
Naamini hata kwenye hii ishu ya mafuta, Magufuli angekuja na njia sahihi ya kusaidia watu wake wasiteseke na ugumu wa maisha unaosababishwa na gharama za mafuta kuwa juu. Angetafuta njia sahihi za kumlinda mwananchi asiumizwe na kupanda kwa bei za mafuta
Magufuli alikuwa na maono sana na aliwapenda watu wake hakutaka kuona wanateseka. Angetuvusha.
Haya nenda sasa kalie juu ya kaburiKwenye ishu ya Corona wakati dunia nzima ikijifungia na kufata njia isiyo sahihi kushughulika na janga lile.
Baba yetu Magufuli alisimama kama kiongozi akaja na njia ambayo dunia nzima sasa inaifata kwenye kukabiliana na corona.
Naamini hata kwenye hii ishu ya mafuta, Magufuli angekuja na njia sahihi ya kusaidia watu wake wasiteseke na ugumu wa maisha unaosababishwa na gharama za mafuta kuwa juu. Angetafuta njia sahihi za kumlinda mwananchi asiumizwe na kupanda kwa bei za mafuta
Magufuli alikuwa na maono sana na aliwapenda watu wake hakutaka kuona wanateseka. Angetuvusha.
Mfuate kaburini kwake akakuvushe,limeua watu kwa kusema hakuna covid maelfu wa watanzania walifariki,bladifaken wahed
Mtu kama huyu akisikia jina la Magufuli ushuzi unambana
Siyo bue, wizi wa Tshs 1.5 Trilioni nanyi mlihusika.Cheki jizi hili
Ata corona ilikuwa ni tatizo la dunia.Mafuta ni tatizo la dunia nzima!