Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Umesema kweli tupu, dhambi zetu ndio zinazotuweka mbali na MunguMatendo yetu maovu ndio hutuweka mbali na Mungu...
Wana wa Israel waliachwa na Mungu kwa maovu yao wenyewe...
Ila Kila walipo tubu maovu yao, Mungu aliwarudia Tena.
Hata sisi Leo tukitubu kwa maovu yetu, Mungu wetu ambaye si mwepesi wa hasira ni mwingi wa Rehema ataturudia.