Kama ambavyo unavizia kuiba mke au mume wa mtu, ndivyo nawe unavyonyemelewa kunyakwa na huenda ukaumizwa vibaya

Ungefunguka ndugu mleta mada unaposema kuumizwa unamaanisha kuumizwa eneo gani la mwili hasa kwa wale wanaonyemelea wake za watu
 
Ungefunguka ndugu mleta mada unaposema kuumizwa unamaanisha kuumizwa eneo gani la mwili hasa kwa wale wanaonyemelea wake za watu
ukipigwa vibaya sana na kuumizwa eneo lolote la mwili, kwasababu ya kuiba mke wa wenyewe ni mbaya sana na inaumiza mno. Kwa nyakati hizi za sasa wafumaniaji wengi huwalenga wezi wa wake zao zaidi katika maeneo jirani na yaliyo chochea kumendea, kunyatia na kuiba mali safi ya wenyewe ili kuwatia adabu na kiwafedhehesha kwa familia na jamii nzima....

my friend,
don"t try, ni kubaya...
 
wafumaniaji wengi huwalenga wezi wa wake zao zaidi katika maeneo jirani na yaliyo chochea kumendea
 
MMhh kwa kumbu kumbu zanguu
1. pale mafinga town
2. Pande za mikocheni
doohh kumbe sijala wengi waje za watu
 
MMhh kwa kumbu kumbu zanguu
1. pale mafinga town
2. Pande za mikocheni
doohh kumbe sijala wengi waje za watu
na ukapita salama...

aisee wengine mnabahati kuinjoy katikati ya hatari
 
Mf.mke anaring ringa na wewe unakisu mahali, mf. Mume anaringa na unahamu ya hatari Tlaatlaah lazima anayejikomba siunamkubali?? .

Kuna tofauti yakuishi na mtu halafu hakutimizi na kuna mtu anaishi mwenyewe na hatimiziw na hakuna mtu amekuja kuishi na mtu ili asitimiziwe . Kila mtu anapenda atimiziwe . Nalazima umtimizie mtu mf. Mie lazima kama namtu nimtimizie hata kama ni mara 10 kwa siku lazima nimpe na sichoki kwa maana nikazi yangu. Imenileta hapo
 
umenikumbusha wimbo moja naupenda sana, una maneno haya apa chini...
"maringo ya nini, ewe mwanadamu, mwili wako na wangu vitaliwa mchangani"...

mkipendana kwa dhati ya moyo, hakuna maringo wala kijivunga kupeana penzi motomoto, ila mkilazimishana kupendana, mathalan kwasababu ya pesa, mali au tamaa za kimwili, huenda hayo ndio matokeo yake...

lakini mkipendana upeo hamuwezi kunyimana, mtasameheana, mtavumiliana, mtastahimiliana na hakuna atakae juta au kujutia mapenzi baina yenu...

ukiijua vema ladha ya kimwili na ya kiroho, ya mwenzi wako, hutapata nguvu, hisia, wazo, wala muda wa kuchepuka au kufikiria kuchepuka...

na ikitokea jaribu likakulemea,
ukafikia hatua hiyo basi, utajihisi ni muhalifu sana, msaliti na mwenye dhambi sana kwa mwenzi wako nyumbani, na matokeo yake unaweza usiweze kuperform tendo kwa mchepuko, kwasababu ya wasiwasi na huruma dhidi ya mke au mume wako unaempenda sana nyumbani...
unaweza jikuta unalia tu kwa majuto ya kumsaliti kwa mwenzi wako...

na wengine ili afike mshindo lazma avute hisia ya ladha ya mwenzi wake nyumbani la sivyo anaweza ishia njiani....

so,
hali huyo inweza wakumba zaid watu walio lazimisha kupendana kwa sababu wanazozijua woa na kwahivyo hakuna upendo wa dhati...
maringo yanarekebishika kwa upendo ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…