EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Ungefunguka ndugu mleta mada unaposema kuumizwa unamaanisha kuumizwa eneo gani la mwili hasa kwa wale wanaonyemelea wake za watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀Hakuna raha kama kumla mke wa mtu ambaye anamkomoa/kumlipizia mumewe, nyiieee!!!
ukipigwa vibaya sana na kuumizwa eneo lolote la mwili, kwasababu ya kuiba mke wa wenyewe ni mbaya sana na inaumiza mno. Kwa nyakati hizi za sasa wafumaniaji wengi huwalenga wezi wa wake zao zaidi katika maeneo jirani na yaliyo chochea kumendea, kunyatia na kuiba mali safi ya wenyewe ili kuwatia adabu na kiwafedhehesha kwa familia na jamii nzima....Ungefunguka ndugu mleta mada unaposema kuumizwa unamaanisha kuumizwa eneo gani la mwili hasa kwa wale wanaonyemelea wake za watu
wafumaniaji wengi huwalenga wezi wa wake zao zaidi katika maeneo jirani na yaliyo chochea kumendeaukipigwa vibaya sana na kuumizwa eneo lolote la mwili, kwasababu ya kuiba mke wa wenyewe ni mbaya sana na inaumiza mno. Kwa nyakati hizi za sasa wafumaniaji wengi huwalenga wezi wa wake zao zaidi katika maeneo jirani na yaliyo chochea kumendea, kunyatia na kuiba mali safi ya wenyewe ili kuwatia adabu na kiwafedhehesha kwa familia na jamii nzima....
my friend,
don"t try, ni kubaya...
hakikaFor sure ni hatari,
kwa afya, ndoa, maisha na uhai...
Tena wote hao mara tatu tatuna ukapita salama...
aisee wengine mnabahati kuinjoy katikati ya hatari
umenikumbusha wimbo moja naupenda sana, una maneno haya apa chini...Mf.mke anaring ringa na wewe unakisu mahali, mf. Mume anaringa na unahamu ya hatari Tlaatlaah lazima anayejikomba siunamkubali?? .
Kuna tofauti yakuishi na mtu halafu hakutimizi na kuna mtu anaishi mwenyewe na hatimiziw na hakuna mtu amekuja kuishi na mtu ili asitimiziwe . Kila mtu anapenda atimiziwe . Nalazima umtimizie mtu mf. Mie lazima kama namtu nimtimizie hata kama ni mara 10 kwa siku lazima nimpe na sichoki kwa maana nikazi yangu. Imenileta hapo
Kabisa mkuuatiririke watu wachote uzoefu au sio