Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
Mdada akiwa na hela akanunua simu mbili nalo tatizo ....tukiwaomba hela tunaitwaa omba ombaKama hujamnunulia wewe hizo simu, unahaki ya kukaa kimya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdada akiwa na hela akanunua simu mbili nalo tatizo ....tukiwaomba hela tunaitwaa omba ombaKama hujamnunulia wewe hizo simu, unahaki ya kukaa kimya.
Wewe una simu ngapi?Mdada akiwa na hela akanunua simu mbili nalo tatizo ....tukiwaomba hela tunaitwaa omba omba
Unazo ngpOooh jmn, njoo uchukue
Unataka kuniongezaWewe una simu ngapi?
Nataka niombe moja.Unataka kuniongeza
Alt + MwarobainiKazi na dawa
habari ya leo leejayMmnh
Alt + MwarobainiKazi na dawa
😂Nina MojaNataka niombe moja.
Umejitahidi kuiruka hiyo 🤣.😂Nina Moja
Salama Babuu za kwako?habari ya leo leejay
Acha zako🤣Umejitahidi kuiruka hiyo 🤣.
😂Sio niongeze kiswaswadu cha kufanya miamalaHapo una tabia njema
Mpaka lini sasa?Tuendelee kutafuta hela
Mungu ni mwema..hadimu sana binti yanguSalama Babuu za kwako?