Kama ana simu mbili, zingatia Ile ndogo

Kama ana simu mbili, zingatia Ile ndogo

mimi hua nashanga sana mwanaume unaruhusu vipi ubongo wako kuwa na nafasi ya kumdadavua mwanamke hadi kufika hatua ya kudadisi simu yake

mwanaume unatakiwa ukihisi tuh unapiga chini na hilo zoezi halihitaji ushauri bali ni mamuzi binafsi namba ya wanawake ni kubwa sana hakuna haja ya kupoteza muda na mjinga moja
🤝
Ety mwanaume mzima unakaa kuvizia simu ya mkeo 😂 yn unaiona hatari afu ww unaikimbilia badala ya kuiepuka.
 
Enhe kwahiyo tusiwe na viswaswadu sawa na nini kingine??
Nachukua notice hapa
 
Ila poleni sana mnaodhani mna uwezo wa kumtuliza mtu pasipo kujua kuwa utulivu ni chaguo binafsi la mtu na sio shinikizo kwa mtu wa nje. Kama hakuoni wewe kama sababu ya kutulia, hata ukimchunga hatotulia kwa sababu huna umuhimu huo unaojipa katika maisha yake.

Kikubwa na cha msingi zaidi usikikague hicho kiswaswadu kama hauna ubavu wa kumuacha.
Kudadadadeki umetisha kimano Mano
 
Hapa Sina maelezo mengi

Usikariri vikuku, blichi, kipindi puani, tattoo, pia ogopa pisi ya simu mbili yaani tambo na kiswaswadu

Kama ana tambo na kiswaswadu basi we jua tambo halina magendo, kiswaswadu ndo kina uhalifu mwingi
Kabisa afu namba utakuta whatsApp ipo kwa tambo lakn line ipo kwa ile ndogo. Unachat nae huku whatsApp afu kule kwa kitochi anaongea na mtuye mwingine. Upo sahihi kwa asilimia 100%
 
Judging people by their looks isn't superficial; it's instinct. We read faces like a book, because sometimes the cover is the only truth you get before the story unfolds😌
Hapo u Swahili mwingi na Siasa tu, cover it's a cover, hisia ni hisia na hazifanani na interpretation ya cover sio one to one for everyone na hakuna common understandable signals in their righteous situation
 
Back
Top Bottom