Kama ana simu mbili, zingatia Ile ndogo

Kama ana simu mbili, zingatia Ile ndogo

Hapa Sina maelezo mengi

Usikariri vikuku, blichi, kipindi puani, tattoo, pia ogopa pisi ya simu mbili yaani tambo na kiswaswadu

Kama ana tambo na kiswaswadu basi we jua tambo halina magendo, kiswaswadu ndo kina uhalifu mwingi
kiswaswadu ni hatari anatuma mesegi hatakama mko wote saa tisa usiku mkiwa macho bila wewe kugundua na buton hazina mwanga
 
Ila poleni sana mnaodhani mna uwezo wa kumtuliza mtu pasipo kujua kuwa utulivu ni chaguo binafsi la mtu na sio shinikizo kwa mtu wa nje. Kama hakuoni wewe kama sababu ya kutulia, hata ukimchunga hatotulia kwa sababu huna umuhimu huo unaojipa katika maisha yake.

Kikubwa na cha msingi zaidi usikikague hicho kiswaswadu kama hauna ubavu wa kumuacha.
uzi ufungwe hii comment imemaliza kila kitu......

tunajipa sana umuhimu kwenye maisha ya watu tusio wajua
 
Back
Top Bottom