Kama ana simu mbili, zingatia Ile ndogo

Kama ana simu mbili, zingatia Ile ndogo

Mimi nilimuuliza huyo dada kwamba anatumia njia gani kuhakikisha madume yake hayamsanukii aisee, alinipa mbinu kama nne hivi na hiyo ya kuwa na simu ya pembeni nilibaki mdomo wazi.
Hiyo ndo mbinu ya kivita
 
Mimi nilimuuliza huyo dada kwamba anatumia njia gani kuhakikisha madume yake hayamsanukii aisee, alinipa mbinu kama nne hivi na hiyo ya kuwa na simu ya pembeni nilibaki mdomo wazi.
😁😁😁 Hauwezi kumzuia mwanamke aache kuchepuka labda Atake yeye mwenyewe kutulia kuna mdada mmoja yeye Alikuwa Anaishi na Jamaa yake ni Askari , so alichokua anafanya ana laini 2 Hiyo laini moja huwa anaiweka mumewe akiwa hayupo akiingia kazini anaitoa mahali anapoificha then anaipachika ktk simu
 
Back
Top Bottom