Kama ana simu mbili, zingatia Ile ndogo

Hapa Sina maelezo mengi

Usikariri vikuku, blichi, kipindi puani, tattoo, pia ogopa pisi ya simu mbili yaani tambo na kiswaswadu

Kama ana tambo na kiswaswadu basi we jua tambo halina magendo, kiswaswadu ndo kina uhalifu mwingi
kiswaswadu ni hatari anatuma mesegi hatakama mko wote saa tisa usiku mkiwa macho bila wewe kugundua na buton hazina mwanga
 
uzi ufungwe hii comment imemaliza kila kitu......

tunajipa sana umuhimu kwenye maisha ya watu tusio wajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…