Kama ana simu mbili, zingatia Ile ndogo

Kama ana simu mbili, zingatia Ile ndogo

Badala ya kuzingatia hy simu ndogo, mm nashauri achana na demu mwenye simu mbili
mimi hua nashanga sana mwanaume unaruhusu vipi ubongo wako kuwa na nafasi ya kumdadavua mwanamke hadi kufika hatua ya kudadisi simu yake

mwanaume unatakiwa ukihisi tuh unapiga chini na hilo zoezi halihitaji ushauri bali ni mamuzi binafsi namba ya wanawake ni kubwa sana hakuna haja ya kupoteza muda na mjinga moja
 
Back
Top Bottom