Mkuu mlimalizana vipi na Jamaa uliyemgonga?
Magari hayakuharibika ila kumbe wote tulikuwa tunamtazama MwanajamiiOne. Mtambuzi ntakupiga fine kwa kufichua siri mtaa huu. Mke wangu mpenzi Lady doctor niwie radhi.
shizoshangana etulini,ooh jehovaa
Magari hayakuharibika ila kumbe wote tulikuwa tunamtazama MwanajamiiOne. Mtambuzi ntakupiga fine kwa kufichua siri mtaa huu. Mke wangu mpenzi Lady doctor niwie radhi.
Karibu diasasa mimi na MwanajamiiOne tunatofauti gani mpenzi? Au ile white color ndiyo imekuzuzua?
Ngoja nimtafute Chocs nimualike aje anitembelee home na mume wake kwani nimemmis Erickb52.
sasa mimi na MwanajamiiOne tunatofauti gani mpenzi? Au ile white color ndiyo imekuzuzua?
Ngoja nimtafute Chocs nimualike aje anitembelee home na mume wake kwani nimemmis Erickb52.
Asalam aleykum!
[EMAIL="Abee................... Arushaone Abee................... Arushaone umeniita? Haya nimewakoseani mie
Hahahahaha....shem bwana usinifurahishe!. . . Hakyanani shem umemuweka ndg yangu Erickb52 kwenye chupa! Tumejipanga tunakutafuta....na t u k i k u k a m a t a. . . . !
Hahahahaha....shem bwana usinifurahishe!
Ndugu yako yupo karibu nyumbani kesho utamkuta
Ntaandaa chakula cha mchana kwa ajili yako na mkeo Lady doctor