Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Honey Erickb52 kafichwa kwenye chupa!
ngoja niende nikaivunje hiyo chupa ili niokoe maisha yake
Last edited by a moderator:
Honey Erickb52 kafichwa kwenye chupa!
Karibu dia
Mbona kama wazozana na mume kuna nini hapa kinaendelea?
Khahhhnamshangaa mume wangu anamkodolea macho mdada wa watu bila huruma
Hahahahaha....shem bwana usinifurahishe!
Ndugu yako yupo karibu nyumbani kesho utamkuta
Ntaandaa chakula cha mchana kwa ajili yako na mkeo Lady doctor
ngoja niende nikaivunje hiyo chupa ili niokoe maisha yake
namshangaa mume wangu anamkodolea macho mdada wa watu bila huruma
Erickb52 njoo bwana washaanza kunizushia!!Chonde chonde mpenzi, ngoja tumshirikishe Katavi au Sumba-Wanga watusaidie kutegua ili nisijeingize mimi badala ya Erickb52.
Hapan'chezeiya Chocs.
Poua...mukikuja mutamukuta jamaa yenuNgoja nicheki ratiba yetu shem langu!
Hii chupa ya mapenzi mororo atakayeweza kuipasua,sijui!!ngoja niende nikaivunje hiyo chupa ili niokoe maisha yake
atakuwa kamfananisha,shem Arushaone leo
si alitoka mara moja tu kwenda kuleta wale pweza
trust meNsango boni?
Limbisa ngai, nalingi koloba na! Ila usije ukaongelea ile makitu hapa ohoo....!!!!
Hahahaha eti Mdogo wangu Lady doctor, mwulize huyu shemeji yangu tena basi weye bado spring chicken............mie nna uzee huu aniache miaka 100 nkatafute wazee wenzangu. Eboo..............
tena mimi na Ruttashobolwa ndio tulimrudisha home
huyu Mtambuzi huyu,au anataka amzengee pacha wangu
Lady doctor? Arushaone shem wangu usikonde hvi ni vijimambo tuuu!!
trust me
hivi unajua kunyofoa watu kucha na meno bila ganzi?
sa hv tunamwagia tindikali
Ngoja kwanza nimalizie kufuturu. Afu Mtambuzi hapa DAR naona hata ambao hawakufunga + kobez wote wanafuturu as if nao walikuwa wamefunga, plus me!
Hivi Mtambuzi na kukaa kote bongo bado mademu wanakutoa denda.