Kama Arushaone hupo DAR, basi duniani wawili wawili…!

Kama Arushaone hupo DAR, basi duniani wawili wawili…!

Last edited by a moderator:
uko sawa,
nimekusoma kitalolo
We hiyo ni nature calls haijalishi unaishi wapi au una umri gani kma unabisha muulize mzee mandela kwanini alimchukua Mrs Mshell unataka kuniambia na kuishi kwake kote bondeni hadi leo alikuwa anatolewa denda na yule mama??
 
Last edited by a moderator:
Ina maana hamna hata mmoja kati yenu aliyeambulia kumpa bizinezi kadi?....huo ni uzembe wa hali ya juu
 
Mr Rocky hivi unajua kuwa unaniboa
hayo ya kunipa salamu za mkeo
ni kutiana hasira ujue, haya we!!!!

Hasira za nini Bi'dada?
Kama tui-bubu lake ulishalimangaga wewe !
Hao walokupokea kijiti, mno-mno wala chururu tu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom