Kama Arushaone hupo DAR, basi duniani wawili wawili…!

Hahahahaha....shem bwana usinifurahishe!
Ndugu yako yupo karibu nyumbani kesho utamkuta
Ntaandaa chakula cha mchana kwa ajili yako na mkeo Lady doctor

Ngoja nicheki ratiba yetu shem langu!
 
Last edited by a moderator:
Hivi Mtambuzi na kukaa kote bongo bado mademu wanakutoa denda.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha eti Mdogo wangu Lady doctor, mwulize huyu shemeji yangu tena basi weye bado spring chicken............mie nna uzee huu aniache miaka 100 nkatafute wazee wenzangu. Eboo..............

tatizo lake hubby wangu hajiamini bado, naona anataka kuwakodolea mimacho wazee wenzake ye anafikiri mi vijana wenzangu siwaoni, ye muache aendelee nitamfanya kama Erickb52 alivyofanywa na bibie Chocs
 
Last edited by a moderator:
Ngoja kwanza nimalizie kufuturu. Afu Mtambuzi hapa DAR naona hata ambao hawakufunga + kobez wote wanafuturu as if nao walikuwa wamefunga, plus me!

Mtambuzi kwa kauli hii i wazi jamaa ndiye aliyesababisha hiyo ajali amejua kuwa jamaa wa dar + kobes wanafuturu si kawaona kwa macho yake akiwa hapo Dar?
 
Last edited by a moderator:
Hivi Mtambuzi na kukaa kote bongo bado mademu wanakutoa denda.


We hiyo ni nature calls haijalishi unaishi wapi au una umri gani kma unabisha muulize mzee mandela kwanini alimchukua Mrs Mshell unataka kuniambia na kuishi kwake kote bondeni hadi leo alikuwa anatolewa denda na yule mama??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…