Kaka mkubwa hako kanjia huwa kana kawaida ya kuwa na warembo haswa hapo Amani Place lol...usipokua makini unaweza kuwa msababisha ajali kila leo...
ujue pacha wangu hizi habari zinanichanganya sana maana sijui huyu shemejio alichomoka saa ngapi!
pacha we ndoa yako bado changa
wale uliowatosa ujue mitima yao bado
inaweweseka,wanataka kukuharibia tu!!
Mamndenyi habari zako aise
Nimekumissije huko uliko
Dena Amsi anakusalimia
Mtambuzi huyo aliyegonga gari kwa kumkodolea macho Lady doctor kwa kinguo alichovaa ni huyo huyo uliyemfikiria
Nakupa hi tu! FYI mimii na Mzee wa Rula hatuongei tangu aniwekee kauzibe ile day.
Mfungo huuu.....
Hahahahhah Arushaone, wewe tu na roho yako ya kwa nini shemeji yangu, Mzee wa Rula wala hakuwa na taabu mzee wa watu, kiroho safeeeeeeeyyyyNakupa hi tu! FYI mimii na Mzee wa Rula hatuongei tangu aniwekee kauzibe ile day.
Mzee wa Rula, we Mzee mwenzangu usijali huyu shemeji Arushaone anataka tu vurugu hapa, ankosanishe na Mdogo wangu Lady doctor aone rahaHaikusaidii kuchoma nyumba kwa maji ya moto tehe tehe tehe. MwanajamiiOne achana na huyo mzushi Arushaone
We hiyo ni nature calls haijalishi unaishi wapi au una umri gani kma unabisha muulize mzee mandela kwanini alimchukua Mrs Mshell unataka kuniambia na kuishi kwake kote bondeni hadi leo alikuwa anatolewa denda na yule mama??
Mamndenyi habari zako aise
Nimekumissije huko uliko
Dena Amsi anakusalimia
Mtambuzi huyo aliyegonga gari kwa kumkodolea macho Lady doctor kwa kinguo alichovaa ni huyo huyo uliyemfikiria
Mtambuzi jamaa yupo Jijini D'Salaam kaja kutoa gari yake mpya aliniambia ni RA4 New Model! Kumbe keshaigonga! Arushaone siku nyingine uwe makini.
Mzee wa Rula we Mzee mwenzangu usijali huyu shem Arushaone anataka tu vurugu hapa ankosanishe na Mdogo wangu Lady doctor aone raha
Mzee wa Rula we Mzee mwenzangu usijali huyu shem Arushaone anataka tu vurugu hapa ankosanishe na Mdogo wangu Lady doctor aone raha