Kama Arushaone hupo DAR, basi duniani wawili wawili…!

Namshangaa sana huyu Arushaone yaani anamwangalia dada Wa watu kana kwamba anamdai?

Itabidi hawa vijana tuwapige shule ya kuchungulia hawa twiga wa mwenyezi Mungu!


Halafu wewe Mtambuzi umesahau kwba picha nilitumiwa mie?
Babu DC!
 
Last edited by a moderator:
jamani limenishangaza na kuniogopesha, na kunifanya niduwae nimeliona hili jina limenifanya nione kiza kidogo eti Ruttashobolwa na huyu ni nduguyo huyu hapa Rutabingilwa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…