Elections 2015 Kama atasoma hapa Mh. Magufuli ahailishe kugombea ubunge jimbo la Chato

Watu hawamtaki, sisa za ubinafsi na kauli mbovu, wakati anautubia mkutano wa hadhara ktk jimbo lake la chato mwanamke mmoja alimuuliza" mh, ktk jimbo letu tunashida na maji unatusaidiaje?" mh akamwambia kojoeni mikojo yenu na muikinge mpate maji. Akiwa buziku ktk jimbo lake wananchi wakamuuliza, "mh kwetu lami itapita lini?" akajibu tafuteni mavi ya ng'ombe myapake barabarani yawe lami. Magufuli kwa heri 2015 huna chako tena.

Kuna watu hawajui kwamba hata 2010 Magufuli alipata hali ngumu jimboni pa1 na kuahidi kumpa ubunge mgombea wa CHADEMA kama angalipata kura 5000, na mgombea huyo alizidisha mara 3...Alipotakiwa kutimiza ahadi aliishia kusema zile zilikuwa siasa!
 
Watu hawamtaki, sisa za ubinafsi na kauli mbovu, wakati anautubia mkutano wa hadhara ktk jimbo lake la chato mwanamke mmoja alimuuliza" mh, ktk jimbo letu tunashida na maji unatusaidiaje?" mh akamwambia kojoeni mikojo yenu na muikinge mpate maji. Akiwa buziku ktk jimbo lake wananchi wakamuuliza, "mh kwetu lami itapita lini?" akajibu tafuteni mavi ya ng'ombe myapake barabarani yawe lami. Magufuli kwa heri 2015 huna chako tena.

Ni sawa na mbunge wa Handeni, kulizwa tuna shida ya maji utatutaliaje hili tatizo, kajibu mnataka nikakojoe bwawani? Wabunge wote wa CCM hawana akili
 
Watu hawamtaki, sisa za ubinafsi na kauli mbovu, wakati anautubia mkutano wa hadhara ktk jimbo lake la chato mwanamke mmoja alimuuliza" mh, ktk jimbo letu tunashida na maji unatusaidiaje?" mh akamwambia kojoeni mikojo yenu na muikinge mpate maji. Akiwa buziku ktk jimbo lake wananchi wakamuuliza, "mh kwetu lami itapita lini?" akajibu tafuteni mavi ya ng'ombe myapake barabarani yawe lami. Magufuli kwa heri 2015 huna chako tena.

Kama kweli ana kauli chafu na zenye ulevi wa madaraka na sijui hawa viongozi wa ccm wanazitoa wapi jeuri zote hizi
 
Watu hawamtaki, sisa za ubinafsi na kauli mbovu, wakati anautubia mkutano wa hadhara ktk jimbo lake la chato mwanamke mmoja alimuuliza" mh, ktk jimbo letu tunashida na maji unatusaidiaje?" mh akamwambia kojoeni mikojo yenu na muikinge mpate maji. Akiwa buziku ktk jimbo lake wananchi wakamuuliza, "mh kwetu lami itapita lini?" akajibu tafuteni mavi ya ng'ombe myapake barabarani yawe lami. Magufuli kwa heri 2015 huna chako tena.

Ha ha haaa mkuu unabif na magufuli nini?hawezi kusema hivyo kabisa..
 
Hata aliyekuwa mbunge wa jimboni kwetu ilemela alikuwa na majibu mabaya balaa kuna mwananchi aliwahi muuliza swali kuwa mh. kwetu umeme utafika lini nae alijibu kwa kuuliza swali kua je wewe ulieuliza swali unanyumba ya kuvuta umeme?
HAWANA MAJB MAZR
 
....Kuna tetesi zingine za uongo .... lakini alichowaambia wananchi wa Kigamboni hawatakisahau na bado wanakikumbuka hadi leo
 
Mh! Jeuri kama hizi ni kuzizima kwa njia ya sanduku la kura kama warombo walivyofanya kwa mramba na sasa atakuwa amenywea kwani alikuwa na majibu yaovyo kama haya kama "hakuna mama wa kirombo tofauti na mama yake anaweza kuzaa waziri" pia na "rombo hakuna kibeberu mwingine zaidi yake" wakamwonyesha kwenye sanduku la kura wapo vibeberu tele na sasa tunasubiri CDM waingie madarakani wamwonyeshe mama aliyeweza kuzaa waziri tofauti na mama yake
 
Hali ndivyo ilivyo chato hana jipya. Fanyeni uchunguzi mtapata ukweli mimi nipo chato.
 
watu8; Sasa hiyo siyo tetesi tena bali ukweli mtupu, harafu mtu asiye na staha wala kujua namna ya kuituliza mioyo ya masikini eti yupo kwenye timu ya wanaoutaka Urais lol!
 
Last edited by a moderator:
Kama ni kweli amewaambia hivyo basi sioni kosa lake. Hilo ni jibu stahiki kwa wananchi waliokengeuka kiasi cha kuchagua mbunge wa CCM
 
Back
Top Bottom