Kama bado hujasikiliza hili Rhumba Kali 'Se Yo' la Fally Ipupa Wewe siyo Rafiki yangu hapa Jamiiforums

Kama bado hujasikiliza hili Rhumba Kali 'Se Yo' la Fally Ipupa Wewe siyo Rafiki yangu hapa Jamiiforums

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwa Rhumba hili Kali 'Se Yo' lake Fally Ipupa 'Decaprio" itoshe tu kisema Shikamoo Fally Ipupa popote pale ulipo.

Mpinzani wako mkubwa Ferre Gola ana Kazi ya ziada ya Kukujibu kwani ni Wimbo mtamu, mzuri, umepangika na umeutendea haki na Sauti yako ya Dhahabu.
 
Ni nzuri ila fally bado kumfikia ferregola
Huwezi amini Mkuu hili Rhumba Kali la Se Yo lake Fally Ipupa kwa jinsi nilivyolipenda yaani kila mara nalisikiliza tu.

Shikamoo Fally Ipupa kwa Rhumba.
 
Fally tunampenda lakini Ferre Gola tunampenda zaidi mawe yake hua yanampoteza fally sema ferre bongo hasikiki sana maana hakujibrand lakini ni moto
GENTAMYCINE nikikuambia Mziki fulani ni mzuri amini kwa 100% kwani hii Miziki ya Kikongo nina PhD nayo. Namkubali Ferre Gola ila kwa hili Rhumba Kali la 'Se Yo' lake Fally Ipupa ameshamuacha mbali.

Shikamoo Fally Ipupa.
 
Kwani uliwahi kuwa na marafiki hapa JamiiForums?

Labda huyu LIKUD tu.!😂😂
 
Changamoto sio kuangalia
Shida ni matangazo ya youtube ni mengi. Mpk video ifunguke dkk 1 imeisha kwa matangazo wa3 au mawili. Hapa nlitaka niangalie ile mtangazo wa kwanza ukaisha, ukaja wa pili nkaona acha niendelee na mambo yangu tu
 
Back
Top Bottom