GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Huwezi amini Mkuu hili Rhumba Kali la Se Yo lake Fally Ipupa kwa jinsi nilivyolipenda yaani kila mara nalisikiliza tu.Ni nzuri ila fally bado kumfikia ferregola
Badili aina ya Bange / Bangi uivutayo.Yanga Oyee!
Utaendelea kuwa Mpumbavu hivi hadi unaingia Kaburini ukitokea Mochwari ulikogandishwa kama Nyama ya Nguruwe.Eti Game Changer
GENTAMYCINE nikikuambia Mziki fulani ni mzuri amini kwa 100% kwani hii Miziki ya Kikongo nina PhD nayo. Namkubali Ferre Gola ila kwa hili Rhumba Kali la 'Se Yo' lake Fally Ipupa ameshamuacha mbali.Fally tunampenda lakini Ferre Gola tunampenda zaidi mawe yake hua yanampoteza fally sema ferre bongo hasikiki sana maana hakujibrand lakini ni moto
Capitaine De Benelux remix.Niseme ukweli mimi fere gola simjui kabisa... huwa na msikia ila fally namjua kitambo!
Nitajieni goma kali la fere gola nikalizikilize
Siku ukimsikiliza hutarudia kumkubali fallyNiseme ukweli mimi fere gola simjui kabisa... huwa na msikia ila fally namjua kitambo!
Nitajieni goma kali la fere gola nikalizikilize
Back 2 senderUtaendelea kuwa Mpumbavu hivi hadi unaingia Kaburini ukitokea Mochwari ulikogandishwa kama Nyama ya Nguruwe.
Asante kwa "ushauri" wako! Ha hahahaha!Badili aina ya Bange / Bangi uivutayo.
Stupid.Back 2 sender