Jini Kisiranii
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 1,912
- 2,254
Wakuu hii ni passo ya 2 kumiliki, ya kwanza nlimvua mtu nikaa nayo km miaka 4 nikauza nikanunua mpya sasa ninayo mwaka wa 5 unaelekea, mimi ni heavy user nasafiri nayo sana hadi km 1300 non stop, coz napenda kuwa na independent time kwamba nikipanga nasafiri mda flan na mda flan nitakuwa mahali flan so huwa naona bora nitumie tu gari binafsi.
Ulaji wake wa mafuta ni amazing, usipokamua sana inakula hadi km 23 kwa lita. Leo nlikuwa na kisafari ambacho sio kirefu ni km 220 nikaeka full tank lita35 hivi ndivo kimekula
Ulaji wake wa mafuta ni amazing, usipokamua sana inakula hadi km 23 kwa lita. Leo nlikuwa na kisafari ambacho sio kirefu ni km 220 nikaeka full tank lita35 hivi ndivo kimekula