Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mzee umanisanua ngoja nikachukue hii hii.Wakuu hii ni passo ya 2 kumiliki, ya kwanza nlimvua mtu nikaa nayo km miaka 4 nikauza nikanunua mpya sasa ninayo mwaka wa 5 unaelekea, mimi ni heavy user nasafiri nayo sana hadi km 1300 non stop, coz napenda kuwa na independent time kwamba nikipanga nasafiri mda flan na mda flan nitakuwa mahali flan so huwa naona bora nitumie tu gari binafsi.
Ulaji wake wa mafuta ni amazing, usipokamua sana inakula hadi km 23 kwa lita. Leo nlikuwa na kisafari ambacho sio kirefu ni km 220 nikaeka full tank lita35 hivi ndivo kimekula
Wanaotaka sifa mjini waendelee na Herrier zao