Jini Kisiranii
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 1,912
- 2,254
ndio maana kasema kama unajitafuta mkuu sio wote upo kwenye level moja ya uchumi mkuuKweli unatoa ushauri kabisa watu wanunue paso.
Sijajua kwanini umetoa huo ushauri ila mmh passo ukipigwa upepo na ukiwa speed inaama barabara..kwanza upepo tu bati linabonyea..Wakuu hii ni passo ya 2 kumiliki, ya kwanza nlimvua mtu nikaa nayo km miaka 4 nikauza nikanunua mpya sasa ninayo mwaka wa 5 unaelekea, mimi ni heavy user nasafiri nayo sana hadi km 1300 non stop, coz napenda kuwa na independent time kwamba nikipanga nasafiri mda flan na mda flan nitakuwa mahali flan so huwa naona bora nitumie tu gari binafsi.
Ulaji wake wa mafuta ni amazing, usipokamua sana inakula hadi km 23 kwa lita. Leo nlikuwa na kisafari ambacho sio kirefu ni km 220 nikaeka full tank lita35 hivi ndivo kimekula
Sawa lakini zipo gari nyingi tu ambazo mtu anayejitafuta anaweza kuchukua sio passo
Ist ni gari nzuri ila tofauti yake ist hainesi kama passo, passo ipo luxury ukilinganisha na ist ka ist ndani kamebana sana passo ndabi kubwa ina spaceNo thank you, kwangu mimi katika vihatchback vya toyota, ist is the best
Kwa nini sio passoSawa lakini zipo gari nyingi tu ambazo mtu anayejitafuta anaweza kuchukua sio passo
Wewe sio dereva, mm nasafiri na hii gari mwanza dar sio mara moja huwa nasafiri kila baada ya miezi3 na huwa nasafiri kila wiki 700km haijawahinipa shida sijui unaposema ni ya safari fupifupi una basisi zipiSijajua kwanini umetoa huo ushauri ila mmh passo ukipigwa upepo na ukiwa speed inaama barabara..kwanza upepo tu bati linabonyea..
Nyepesi sana kagari kale..
Passo ni gari ya kwenda safari fupifupi ndani ya mji kama sokoni , cinema na n.k
izi zipo kuanzia 3mil unapataMkuu nikiwa na ngapi mkononi napata passo
Hako kagari kanadharaulika sana nchiniWakuu hii ni passo ya 2 kumiliki, ya kwanza nlimvua mtu nikaa nayo km miaka 4 nikauza nikanunua mpya sasa ninayo mwaka wa 5 unaelekea, mimi ni heavy user nasafiri nayo sana hadi km 1300 non stop, coz napenda kuwa na independent time kwamba nikipanga nasafiri mda flan na mda flan nitakuwa mahali flan so huwa naona bora nitumie tu gari binafsi.
Ulaji wake wa mafuta ni amazing, usipokamua sana inakula hadi km 23 kwa lita. Leo nlikuwa na kisafari ambacho sio kirefu ni km 220 nikaeka full tank lita35 hivi ndivo kimekula
Mkuu samahani hivi kwa bajeti ya m.7 naweza kupata Forester Subaru au Harrier kwa mtu? Hapo jijini?H
izi zipo kuanzia 3mil unapata
Wakuu hii ni passo ya 2 kumiliki, ya kwanza nlimvua mtu nikaa nayo km miaka 4 nikauza nikanunua mpya sasa ninayo mwaka wa 5 unaelekea, mimi ni heavy user nasafiri nayo sana hadi km 1300 non stop, coz napenda kuwa na independent time kwamba nikipanga nasafiri mda flan na mda flan nitakuwa mahali flan so huwa naona bora nitumie tu gari binafsi.
Ulaji wake wa mafuta ni amazing, usipokamua sana inakula hadi km 23 kwa lita. Leo nlikuwa na kisafari ambacho sio kirefu ni km 220 nikaeka full tank lita35 hivi ndivo kimekula
Nakubali