Kama bado unajitafuta toyota passo ndo usafiri sahihi

Mzee umanisanua ngoja nikachukue hii hii.

Wanaotaka sifa mjini waendelee na Herrier zao
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Anaangalia wese
 
Kumiliki baiskeli kunazidi hadhi ya kutembea kwa miguu, hapo sijaongelea pikipiki,
Sasa mkuu unazarau gari kabisa,
ukipata mgonjwa usiku wa manane na jirani yako ana paso hutamgongea mlango?
 
Anyway, I accept the challenge.

Natarajia in two years nitoke kwenye boda mpaka Vitz ya cc 990 au Passo.

Next challenge ni within 3 years kuifikia gari ya cc 1500 in VW

I hope I will make it
Nothing is impossible
 
Kumiliki baiskeli kunazidi hadhi ya kutembea kwa miguu, hapo sijaongelea pikipiki,
Sasa mkuu unazarau gari kabisa,
ukipata mgonjwa usiku wa manane na jirani yako ana paso hutamgongea mlango?

Soma vizuri tena ,siwezi kununua passo bora nitembee kwa miguu au nirushe mkuki.

Siku hizi kuna uber,bolt,farasi,paisha ndani ya dakika 3 tu ushapata usafiri,hakuna haja ya kumgongea mlango jirani na passo yake...huo muda wa kwenda kumgongea mpaka aamke ukirequest bolt/farasi anakuwa ashafika.
 
Yani huwa nikiangalia tu hiyo dashboard yake hamu inaniisha...
 
Kumiliki baiskeli kunazidi hadhi ya kutembea kwa miguu, hapo sijaongelea pikipiki,
Sasa mkuu unazarau gari kabisa,
ukipata mgonjwa usiku wa manane na jirani yako ana paso hutamgongea mlango?
Mhe.waziri majibu tafadhali Kwa mhe.mbunge wa Singida mashariki
 
Mi mwenyewe najipanga yangu naiuza 6.5 bado almost mpya, nligonga mbwa km mara 4 hivi bsmba ya mbele ikapasuka but hata nikiuza 8 inaenda, zangu huwa nauza zikifika km laki moja nlinunua na elf 30 haijaguswa na fundi popote labda kubagili plug na oil tu,service ya mwodho nlifany ya 1mil tair zote, wishbon, cv joint
 
Mm sijitafuti nishajipata ila ndo chaguo la gari niipendayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…