Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Utazungumza na mtu aliyetaka kukudhulumu mwanzoni ? Au ndio ile mchawi mpe mwanao amlee.mimi naona hiyo bandari ijengwe na pesa za ndani au tukope sehemu tofauti ila tusizungumze na mchina.Si tunakwenda kuzungumza? Hakuna haja ya kuhofia mazungumzo.
Twende tukazungumze tukubaliane, tukiona hakuna maslahi tunaacha. Kwani shida iko wapi?
Hii itakuwa kama tukio moja lililetwa hapa JF la binti aliyebakwa na njemba fulani alafu ikakimbia, baada ya muda yule binti alienda kuitafuta tena ile njemba