Utazungumza na mtu aliyetaka kukudhulumu mwanzoni ? Au ndio ile mchawi mpe mwanao amlee.mimi naona hiyo bandari ijengwe na pesa za ndani au tukope sehemu tofauti ila tusizungumze na mchina.
Hii itakuwa kama tukio moja lililetwa hapa JF la binti aliyebakwa na njemba fulani alafu ikakimbia, baada ya muda yule binti alienda kuitafuta tena ile njemba