Kama Barua yenu kwa Spika Ndugai imeitwa 'Kipeperushi' mkienda kukutana na Rais Samia angalieni tu asiwaite 'Wapuuzi' pia

CDM haijawahi kupereka majina tume ya uchaguzi ili hao covid 19 wateuliwe uhuni unaanzia hapo
 
Alichopewa ndiyo 'kakiita' Kipeperushi.
 
Ninakubaliana nawe kwa huu Ufafanuzi.
 
Kuna 'Usamjo' mkubwa upo CHADEMA.
 
Huenda Ndugai anajua zaidi yetu Mkuu.
 
Taratibu naanza sasa Kumuelewa Spika.
But ni kawaida kwa utaratibu wa ofisi unapoletewa barua kuijibu, amekaa kimya kwa kiburi kipindi cha mwendazake ameona upepo umebadilika anatoa maelezo ya mdomo mfulululizo. Kwanini hayo anayowaambia ndio yasiwe kwenye majibu ya barua ya kuwajibu. Kwanini naibu spika aseme hakuna barua iliyopokelewa ya kuwakataa wabunge wale.

Hivi CCM inanufaika na nini kwa wabunge wale? Wakifukuzwa si ndio itakuwa vizuri kuonesha kukubalika kwake kwa wananchi?
 
Mkuu Ndugai hana mpango kula matapishi yake, pia anadhani atamaliza kipindi chake na hana cha kupoteza.Hatukuona umakini huo nyaraka uhakiki akiwaapisha.Pamoja na yote endapo CDM watakidhi vigezo bado atatumia mabavu..." sheria haijanipa muda kujibu,kutekeleza...busara ya spika.."
 
CDM wabadili aina ya siasa kwa kutoendekeza siasa za uanaharakati,kutukana na kuropoka na kupinga kila kitu cha serikali imewagharimu sana. Wawe na rational politics. Siasa za kiMbowe na Lissu zitawaponza sana.
 
Hilo bunge linasimamia nn Mana hata halieleweki kutokana na mwendeshaji kuwa bogus yaan mpayuka Mana bajeti zote zikipangwa ikulu ...

Ni kiongozi atakaye acha aibu baada ya muda wake
Unachangia ki CHADEMA na si KIAKILI.
 
Taratibu naanza sasa Kumuelewa Spika.
Yaonekana una hamu tu ya kujipa furaha hewa.
Ndugai sasa hivi anababaika kwani alitegemea sana uwepo wa Jiwe kulinda takataka zake kama alivyozoea na kujidekeza.
Covid 19 hawakupendekezwa na CHADEMA. Utaratibu mzima na sheria zake viko wazi na havikufuatwa kabisa.
Huko ndiko swala lenyewe linakoanzia.
Mengine hayo ni muendelezo tabia zake mbaya, ambazo ziliendana kabisa na tabia za mungu wa Burigi aliekuwa anapata furaha na usingizi mwema kwa kukomoa na kukandamiza watu kwa kusigina katiba.
Hili bunge sio mali yake kiasi cha kujivuna hadharani kuwa hapangiwi wala hatakiwi kuongozwa. Hayuko juu ya sheria za nchi.
Kama Mama atarithi na kukubali kuendeleza uvunjaji huo wa katiba atakuwa ameanza kujichafua kitu ambacho sikitegemei sana.
Ninapenda kuamini kuwa atatafuta namna ya kulitatua kabla halijamfikisha pabaya. AMEN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…