Kama Barua yenu kwa Spika Ndugai imeitwa 'Kipeperushi' mkienda kukutana na Rais Samia angalieni tu asiwaite 'Wapuuzi' pia

Kama Spika anasema anataka muhutasari wapeleke nakala ya uo muhutasari pamoja na katiba yao mbona simple tuuu
Halafu Spika akianza sababu nyingine apo sasa tutajua kuwa kaamua kuwabeba Covid 19
 
Mbona wakati wa kuwapokea aliwapokea kirahisi tu bila hata kuthibitisha kwenye vyama vyao na wala kuomba sijui mihutasari, katiba wala viambatanisho vyovyote. Alikuwa amedhamiria kuitenda hiyo dhambi kwa maelekezo ya mwendazake. Lakini sasa anaona aibu anashindwa kuwatoa kwa vifungu vidogo tu vya sheria ambavyo hata spika wa zamani Pius Msekwa aliwahi kusema kwamba hao wabunge 19 kama wamefukuzwa na vyama vyao wanakuwa disqualified, taratibu za wao kurudi ndio inabidi wakazitafute mahakamani au kwenye rufaa ya Baraza Kuu.
 
unapoteza muda bure tu ungeanza kujiuliza hawa COVID19 wamewezaje kuingia mjengoni nani alimwandikia barua nduGAYe awapokee hao COVID19
 
Hicho chama hakina tofauti na saccos
Saccos gani ambayo kipindi cha uchaguzi mkuu ukifika mnaangaika na vyombo vya dola na matamko ya vitisho hadi mnazima mitandao yakijamii?.Huna unachokijua wewe zaidi yakukaririshwa.
 
Tutakaokuelewa hapa ni Sisi 'Brainiacs' wachache na Watu ambao tuko 'Neutral' katika Siasa za Tanzania, ila 'Imbeciles' na 'Hypocrites' wengi kamwe hawatokuelewa Mkuu.
 
Mie nilidhani jaji wa mahakama ndo anahitaji dondoo zote hizo. Ama kweli kuwa uyaone.
 
Huo ndo ukweli.Bunge lina watumishi hewa 19.
 
Duu hata wewe unaweza "kupeperushwa" na ngonjera za subwoofer kweli?! You can only ignore CDM at your own peril! Sio kwa CDM kukosa au kujenga hoja hata kidogo!
 
Wamegomea katiba mpya, wamegomea tume huru ya uchaguzi, huko mbeleni naona kutaibuka makundi ya kigaidi, yataanza mdogo mdogo, Kama vikundi vya kidini, lakini vikibeba madai ya kisiasa.
CCM haitoki madarakani kilaini
Utakuwa mumoja wao, au unatabili tu?
Nilikuwa natania tu mkuu.
 
Utapeli Utapeli / Ujanja Ujanja wa sana.
Kwa sasa kuna haja ya kutafuta watu timilifu ili waikomboe CDM. Waliopo ni makanjanja na watu waliopoteza dira na muelekeo kabisa.

Wasipochukua hatua za haraka chama kitakufa kabisa
 
KIGOGO 2014 ndio suluhisho la mgogoro kati ya CDM na wabunge wateule 19
 
Wasije wakapeleka ujinga wa MAANDAMANO sasa hivi wananchi wapo busy na shuguli za kutengeneza pesa hawana muda wa kupoteza kama wamachinga na bodaboda waliokuwa wanawatumia zamani sasa hawawapati ng,o!! wanatengeneza pesa bila bugudha kwa kipindi kifupi wamejenga na wengine wamekuwa wafanyabiashara wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…