Kama biashara sawa kama utoto wa mjini WCB hamuwezi

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
4,664
Reaction score
9,929
Kwenye biashara kuna umafia ukiona uyu mwenzangu vipi basi umafia unabidi utumike akijulikana nani the master of the game uyo uyo wana deal naye

Tuliona kilichomkuta 2 PAC, na B.I. G

Kwaiyo WCB inabebwa na mtu mmoja tu DIAMOND tofauti na CLOUDS MEDIA kwaiyo kama mpo kwenye biashara endeleeni ila kama mpo kwenye serious battle hakuna kuchekeana usoni tunapambana kuona nani mjanja WCB mnajidanganya
 
Mbabe wa MAWINGU alikuwa Ruge... Huyu ndio kaondoka na Clouds tuliyoijua kwa fitina na ubunifu wa biashara kwenye tasnia ya sanaa
Na kwa Mondi ni vema akamuandaa mrithi kuna wakati atachoka
Hofu yangu tu watu kuhama kwenye ushindani wa biashara wakaja nje ya biashara kwa kudhuriana, hiyo ndio hofu yangu ndio maana tunatoa angalizo uko wasafi yupo mtu mmoja tu ndio anaibeba uyo mtu likitokea lakumtokea wanapoteana wale
 
Kwa sasa ni ngumu kwakuwa wako kitaasisi zaidi.. Hali ilikuwa mbaya kipindi kile cha mwanzo.. Kumbuka bifu za Zay-B na Sister P kutoka kutambiana kisanii mpaka matusi ya nguoni na maisha binafsi
Hofu yangu tu watu kuhama kwenye ushindani wa biashara wakaja nje ya biashara kwa kudhuriana, hiyo ndio hofu yangu ndio maana tunatoa angalizo uko wasafi yupo mtu mmoja tu ndio anaibeba uyo mtu likitokea lakumtokea wanapoteana wale
 
Kwenye biashara kuna umafia ukiona uyu mwenzangu vipi basi umafia unabidi utumike akijulikana nani the master of the game uyo uyo wana deal naye

Tuliona kilichomkuta 2 PAC, na B.I. G

Kwaiyo WCB inabebwa na mtu mmoja tu DIAMOND tofauti na CLOUDS MEDIA kwaiyo kama mpo kwenye biashara endeleeni ila kama mpo kwenye serious battle hakuna kuchekeana usoni tunapambana kuona nani mjanja WCB mnajidanganya
Diamond Vs Clouds Media, ni mlinganisho usio sahihi, Diamond ni msanii, Clouds ni media house.

Pia kuifanya Clouds kama label ya mziki si sahihi, na hii ndio inafanya wasanii wawe wanyonge badala ya kuwa wadau ambao media yoyote inaweza fanya nao kazi.

Ulinganifu sahihi kwa Diamond uwe na wasanii wenzake au mafanikio yao kutokana na kazi zao za sanaa.

Wasanii wanatakiwa wajitambue thamani yao, wasiruhusu mtu au media kuwawekea mipaka ya ufanyaji kazi zao za sanaa.
 
Tatizo la Clouds wanajishtukia na tatizo lao kubwa hawampendi Diamond,wanatamani kumwona anatetereka lkn dogo haanguki kila siku anazidi toboa.Usifanye msihala kufanya show ktk nchi za Anglophone as a Main Act.

Yeye mwenyewe alishasema wasipige nyimbo zake na wa simfiatilie.Kafanya Wasafi Festival kesho Asubuhi Soudy na Diva wanaanza kuponda,WCB wamemchunia.Haya show ya jana huko Gunea baada ya kuwa na mafanikio makubwa mara akina Soudy na Diva,show kingililio kilikuwa bei rahisi,mara wasanii walikuwa wengi hakuwa peke yake,wamesahau wao washaandaa show kibao zina wasanii kibao lkn zinakuwa na MAIN ACT,basi waelewe tu japokuwa itawaumiza Gunea kwa mujibu wa waandaaji MAIN ACT alikuwa Diamond Platnumz.

Diamond mwenyewe alisema hataki wapige nyimbo zake wala kumfuatilia na wao CMG wana utaratibu wao ukikoseana nao hapigi nyimbo zako wala kukuongelea mf Lady Jay dee.Lady Jay dee kishafanya matamasha kibao lkn hawampigi vijembe Why Diamond?
Kwa kifupi jamaa wamemshinda,walilolitegemea litokee kwa Mondi halijatokea na kila siku anfanya vizuri.

Cha Msingi CMG waache kumfuatilia Diamond kwani wakiendelea kumfuatilia watazidi kuumia na kukereka,Diamond kila siku ana achieve kitu kipya kikubwa ,mwezi huu tu ana show ktk nchi zaidi nne za Anglophone as Main act.Wao waendelea na mambo yao Mondi nae anaendelea na mambo yake.

Swala Kwamba Mondi akianguka WCB ina anguka hayo ni ya mbele tumwachie Mungu,unaweza ukatabiri kuanguka kwa Mondi hujui kesho Clouds ikaanguka Mondi akaendelea kusimama.Kuna watu walikuwa wanamiliki kampuni kubwa tu zinazoingiza mabilioni ya shilingi Duniani lkn yaka anguka so yote yanawezekana.

Cha msingi wawe kama EA TV na Redio wao Mondi hata afanye vizuri au vibaya hawampigi vijembe wala hawamfuatilii kwa kifupi hawana time na Mondi.

Sasa wewe humpendi Mondi,hupigi nyimbo zake BADO UNAMFUATILIA kuanzia mziki wake mpaka event zake,alafu unategemea afeli kumbe unalolitegemea halimpati zaidi ya dogo kufanya vizuri na hiki ndicho kinawaumiza Clouds na WATAENDELEA kuumia.

SO KAMA HUMPENDI MTU HUSIMFUATILIE NA WALA HUSIMPE TIME YAKO.
 
Mbabe wa MAWINGU alikuwa Ruge... Huyu ndio kaondoka na Clouds tuliyoijua kwa fitina na ubunifu wa biashara kwenye tasnia ya sanaa
Na kwa Mondi ni vema akamuandaa mrithi kuna wakati atachoka
Mkuu experience ya miaka 20 sio mchezo, Ruge kafanya sehemu yake na bado wengine wanaendelea alipoishia,
hakuna taasisi inayokuwa inategemea akili za mtu mmoja tuweke tu akiba ya maneno maana hao Clouds wanachofanya leo wamekipractice for 20 years na ni team nzima sio mtu mmoja.
 
Tatizo la Clouds wanajishtukia na tatizo lao kubwa hawampendi Diamond,wanatamani kumwona anatetereka lkn dogo haanguki kila siku anazidi toboa.Usifanye msihala kufanya show ktk nchi za Anglophone as a Main Act.

Yeye mwenyewe alishasema wasipige nyimbo zake na wa simfiatilie.Kafanya Wasafi Festival kesho Asubuhi Soudy na Diva wanaanza kuponda,WCB wamemchunia.Haya show ya jana huko Gunea baada ya kuwa na mafanikio makubwa mara akina Soudy na Diva,show kingililio kilikuwa bei rahisi,mara wasanii walikuwa wengi hakuwa peke yake,wamesahau wao washaandaa show kibao zina wasanii kibao lkn zinakuwa na MAIN ACT,basi waelewe tu japokuwa itawaumiza Gunea kwa mujibu wa waandaaji MAIN ACT alikuwa Diamond Platnumz.

Diamond mwenyewe alisema hataki wapige nyimbo zake wala kumfuatilia na wao CMG wana utaratibu wao ukikoseana nao hapigi nyimbo zako wala kukuongelea mf Lady Jay dee.Lady Jay dee kishafanya matamasha kibao lkn hawampigi vijembe Why Diamond?
Kwa kifupi jamaa wamemshinda,walilolitegemea litokee kwa Mondi halijatokea na kila siku anfanya vizuri.

Cha Msingi CMG waache kumfuatilia Diamond kwani wakiendelea kumfuatilia watazidi kuumia na kukereka,Diamond kila siku ana achieve kitu kipya kikubwa ,mwezi huu tu ana show ktk nchi zaidi nne za Anglophone as Main act.Wao waendelea na mambo yao Mondi nae anaendelea na mambo yake.

Swala Kwamba Mondi akianguka WCB ina anguka hayo ni ya mbele tumwachie Mungu,unaweza ukatabiri kuanguka kwa Mondi hujui kesho Clouds ikaanguka Mondi akaendelea kusimama.Kuna watu walikuwa wanamiliki kampuni kubwa tu zinazoingiza mabilioni ya shilingi Duniani lkn yaka anguka so yote yanawezekana.

Cha msingi wawe kama EA TV na Redio wao Mondi hata afanye vizuri au vibaya hawampigi vijembe wala hawamfuatilii kwa kifupi hawana time na Mondi.

Sasa wewe humpendi Mondi,hupigi nyimbo zake BADO UNAMFUATILIA kuanzia mziki wake mpaka event zake,alafu unategemea afeli kumbe unalolitegemea halimpati zaidi ya dogo kufanya vizuri na hiki ndicho kinawaumiza Clouds na WATAENDELEA kuumia.

SO KAMA HUMPENDI MTU HUSIMFUATILIE NA WALA HUSIMPE TIME YAKO.
Nimegundua kama CMG wasingekuwa na bifu na mond , mond angekuwa ameisha,Ila hili bifu lao linamfanya jamaa akaze zaidi, sidhan kama kungekuwa na wasafi media kama Clouds wangekuwa Sawa na Mond,
Kama walikuwa wanuombea ashuke mara ghafla bin vuu engineer wa CMG na IPP media wakarudisha chenchi Kwa mola ,....hii si hatari,
Yaan Leo wasafi festival inaanza kupita level za fiesta,

CMG inabd wafanye kazi zao Kwa weledi na ubunifu lakn kufanya kazi ili kumu-outclass mtu fulan itawacost.....!!! Kwa sasa Mond ana fan wengi sana mpak Ikulu,....
 
Tatizo la Clouds wanajishtukia na tatizo lao kubwa hawampendi Diamond,wanatamani kumwona anatetereka lkn dogo haanguki kila siku anazidi toboa.Usifanye msihala kufanya show ktk nchi za Anglophone as a Main Act.

Yeye mwenyewe alishasema wasipige nyimbo zake na wa simfiatilie.Kafanya Wasafi Festival kesho Asubuhi Soudy na Diva wanaanza kuponda,WCB wamemchunia.Haya show ya jana huko Gunea baada ya kuwa na mafanikio makubwa mara akina Soudy na Diva,show kingililio kilikuwa bei rahisi,mara wasanii walikuwa wengi hakuwa peke yake,wamesahau wao washaandaa show kibao zina wasanii kibao lkn zinakuwa na MAIN ACT,basi waelewe tu japokuwa itawaumiza Gunea kwa mujibu wa waandaaji MAIN ACT alikuwa Diamond Platnumz.

Diamond mwenyewe alisema hataki wapige nyimbo zake wala kumfuatilia na wao CMG wana utaratibu wao ukikoseana nao hapigi nyimbo zako wala kukuongelea mf Lady Jay dee.Lady Jay dee kishafanya matamasha kibao lkn hawampigi vijembe Why Diamond?
Kwa kifupi jamaa wamemshinda,walilolitegemea litokee kwa Mondi halijatokea na kila siku anfanya vizuri.

Cha Msingi CMG waache kumfuatilia Diamond kwani wakiendelea kumfuatilia watazidi kuumia na kukereka,Diamond kila siku ana achieve kitu kipya kikubwa ,mwezi huu tu ana show ktk nchi zaidi nne za Anglophone as Main act.Wao waendelea na mambo yao Mondi nae anaendelea na mambo yake.

Swala Kwamba Mondi akianguka WCB ina anguka hayo ni ya mbele tumwachie Mungu,unaweza ukatabiri kuanguka kwa Mondi hujui kesho Clouds ikaanguka Mondi akaendelea kusimama.Kuna watu walikuwa wanamiliki kampuni kubwa tu zinazoingiza mabilioni ya shilingi Duniani lkn yaka anguka so yote yanawezekana.

Cha msingi wawe kama EA TV na Redio wao Mondi hata afanye vizuri au vibaya hawampigi vijembe wala hawamfuatilii kwa kifupi hawana time na Mondi.

Sasa wewe humpendi Mondi,hupigi nyimbo zake BADO UNAMFUATILIA kuanzia mziki wake mpaka event zake,alafu unategemea afeli kumbe unalolitegemea halimpati zaidi ya dogo kufanya vizuri na hiki ndicho kinawaumiza Clouds na WATAENDELEA kuumia.

SO KAMA HUMPENDI MTU HUSIMFUATILIE NA WALA HUSIMPE TIME YAKO.
hakuna wakuanguka, kila mtu anapambana kwa mbinu zake na style yake.
kama kuna mmoja anaamini kumbagaza mshindani wake ndiyo kutamuinua hiyo ni sehemu ya hiyo mbinu yake ila haya mapovu mnayoyamwaga mashabiki mandazi Jose Kusaga anacheka kwa dharau kwasababu account ya wasafi na ya clods zote zinasoma kwake.
Tatizo la Clouds wanajishtukia na tatizo lao kubwa hawampendi Diamond,wanatamani kumwona anatetereka lkn dogo haanguki kila siku anazidi toboa.Usifanye msihala kufanya show ktk nchi za Anglophone as a Main Act.

Yeye mwenyewe alishasema wasipige nyimbo zake na wa simfiatilie.Kafanya Wasafi Festival kesho Asubuhi Soudy na Diva wanaanza kuponda,WCB wamemchunia.Haya show ya jana huko Gunea baada ya kuwa na mafanikio makubwa mara akina Soudy na Diva,show kingililio kilikuwa bei rahisi,mara wasanii walikuwa wengi hakuwa peke yake,wamesahau wao washaandaa show kibao zina wasanii kibao lkn zinakuwa na MAIN ACT,basi waelewe tu japokuwa itawaumiza Gunea kwa mujibu wa waandaaji MAIN ACT alikuwa Diamond Platnumz.

Diamond mwenyewe alisema hataki wapige nyimbo zake wala kumfuatilia na wao CMG wana utaratibu wao ukikoseana nao hapigi nyimbo zako wala kukuongelea mf Lady Jay dee.Lady Jay dee kishafanya matamasha kibao lkn hawampigi vijembe Why Diamond?
Kwa kifupi jamaa wamemshinda,walilolitegemea litokee kwa Mondi halijatokea na kila siku anfanya vizuri.

Cha Msingi CMG waache kumfuatilia Diamond kwani wakiendelea kumfuatilia watazidi kuumia na kukereka,Diamond kila siku ana achieve kitu kipya kikubwa ,mwezi huu tu ana show ktk nchi zaidi nne za Anglophone as Main act.Wao waendelea na mambo yao Mondi nae anaendelea na mambo yake.

Swala Kwamba Mondi akianguka WCB ina anguka hayo ni ya mbele tumwachie Mungu,unaweza ukatabiri kuanguka kwa Mondi hujui kesho Clouds ikaanguka Mondi akaendelea kusimama.Kuna watu walikuwa wanamiliki kampuni kubwa tu zinazoingiza mabilioni ya shilingi Duniani lkn yaka anguka so yote yanawezekana.

Cha msingi wawe kama EA TV na Redio wao Mondi hata afanye vizuri au vibaya hawampigi vijembe wala hawamfuatilii kwa kifupi hawana time na Mondi.

Sasa wewe humpendi Mondi,hupigi nyimbo zake BADO UNAMFUATILIA kuanzia mziki wake mpaka event zake,alafu unategemea afeli kumbe unalolitegemea halimpati zaidi ya dogo kufanya vizuri na hiki ndicho kinawaumiza Clouds na WATAENDELEA kuumia.

SO KAMA HUMPENDI MTU HUSIMFUATILIE NA WALA HUSIMPE TIME YAKO.
mkuu umezaliwa mwaka 1989 ehh??
 
Daudi Mchambuzi,
Sawa ww uliyezaliwa 1947 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

Ila KAMA MTU HUMPENDI HUSIFUATILIE MWISHO WA SIKU ATAKUUMIZA TU kwa kutaka kujua kila alichofanya SIMPLE.
 
huu ujumbe waambie mameneja wa WCB maana naona kwenye page zao wanatokwa mapovu kuwa show ya Fiesta ya Dar itakuwa mbaya yani kabla hata show yenyewe haijafanyika.

NB:
WCB + Clouds = Josee Kusaga.
 
Unajidanganya
 
Sawa babu wa 1947 unayefuatilia maswala ya vijana wa 1989.

Hujawaona Soudy na Diva walivyoanza,mameneja nao waka react,wao wangekaa kimya kuhusu show Gunea wale mameneja wasinge react.

Ila kama MTU HUMPENDI USIMFUATILIE atakuumiza tu na dogo kila siku anafanya vizuri,now anapiga show ktk nchi za ANGLOPHONE as MAIN ACT kama una mchukia, lazima ITAKUUMA TU.
 
joseph1989,
Simchukii Diamond anatafuta rizki yake na maneno hayawezi kumzuiya kufikia mafanikio yake.

Tatizo liko kwa nyie mashabiki mandazi mnatokwa mapovu weeeee ila anayeingiza pesa kwenye both radio anabaki kuwa Kusaga.
 
Simchukii Diamond anatafuta rizki yake na maneno hayawezi kumzuiya kufikia mafanikiao yake.

Tatizo liko kwa nyie mashabiki mandazi mnatokwa mapovu weeeee ila anayeingiza pesa kwenye both radio anabaki kuwa Kusaga.
Hapa tuna mzungumzia Diamond na Si Wasafi Radio wala TV.

Alafu mbona unamchukua Diamond mara kubao au unazani comment zako hatuzioni?

Narudia tena kama humpendi mtu acha kumfuatila mwisho wa siku atakukera kama anavyokura ww kupitia comment zako hapa JF.
 
Wasafi Festival Vs Fiesta = Kusaga
 
Back
Top Bottom