Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
Tatizo la Clouds wanajishtukia na tatizo lao kubwa hawampendi Diamond,wanatamani kumwona anatetereka lkn dogo haanguki kila siku anazidi toboa.Usifanye msihala kufanya show ktk nchi za Anglophone as a Main Act.
Yeye mwenyewe alishasema wasipige nyimbo zake na wa simfiatilie.Kafanya Wasafi Festival kesho Asubuhi Soudy na Diva wanaanza kuponda,WCB wamemchunia.Haya show ya jana huko Gunea baada ya kuwa na mafanikio makubwa mara akina Soudy na Diva,show kingililio kilikuwa bei rahisi,mara wasanii walikuwa wengi hakuwa peke yake,wamesahau wao washaandaa show kibao zina wasanii kibao lkn zinakuwa na MAIN ACT,basi waelewe tu japokuwa itawaumiza Gunea kwa mujibu wa waandaaji MAIN ACT alikuwa Diamond Platnumz.
Diamond mwenyewe alisema hataki wapige nyimbo zake wala kumfuatilia na wao CMG wana utaratibu wao ukikoseana nao hapigi nyimbo zako wala kukuongelea mf Lady Jay dee.Lady Jay dee kishafanya matamasha kibao lkn hawampigi vijembe Why Diamond?
Kwa kifupi jamaa wamemshinda,walilolitegemea litokee kwa Mondi halijatokea na kila siku anfanya vizuri.
Cha Msingi CMG waache kumfuatilia Diamond kwani wakiendelea kumfuatilia watazidi kuumia na kukereka,Diamond kila siku ana achieve kitu kipya kikubwa ,mwezi huu tu ana show ktk nchi zaidi nne za Anglophone as Main act.Wao waendelea na mambo yao Mondi nae anaendelea na mambo yake.
Swala Kwamba Mondi akianguka WCB ina anguka hayo ni ya mbele tumwachie Mungu,unaweza ukatabiri kuanguka kwa Mondi hujui kesho Clouds ikaanguka Mondi akaendelea kusimama.Kuna watu walikuwa wanamiliki kampuni kubwa tu zinazoingiza mabilioni ya shilingi Duniani lkn yaka anguka so yote yanawezekana.
Cha msingi wawe kama EA TV na Redio wao Mondi hata afanye vizuri au vibaya hawampigi vijembe wala hawamfuatilii kwa kifupi hawana time na Mondi.
Sasa wewe humpendi Mondi,hupigi nyimbo zake BADO UNAMFUATILIA kuanzia mziki wake mpaka event zake,alafu unategemea afeli kumbe unalolitegemea halimpati zaidi ya dogo kufanya vizuri na hiki ndicho kinawaumiza Clouds na WATAENDELEA kuumia.
SO KAMA HUMPENDI MTU HUSIMFUATILIE NA WALA HUSIMPE TIME YAKO.
Mkuu umeandika waraka huu, insha hii kwa clouds na wasafi???? kisa bifu??
yaani mmechukua bifu too personal mpaka mnaboa
wasafi ni ya kusaga, clouds ni ya kusaga
sasa kusaga anajichukia yeye??? mbona hamna akili??
hawa wote ni waajiriwa wa mtu mmoja, na wanafanya lolote hili kutengeneza hela na wampate boya kama wewe ambaye unaandika nyaraka ndeeeefu kisa bifu la watu waliolitengeneza???? nani kawaroga?