Kama biashara zilikufa na kufungwa miaka 5 iliyopita, hizi faida za mabenki zilitoka wapi?

Mmh! Thubutu. Mwenyekiti Mbowe ndiye wa kwanza kuulaani utawala wa jiwe. Ndiye aliyehutubia taifa kwa kusema "Never and Never Again".
. Upo hapo ewe sukuma gang?
Nani alitumia zaidi ya miaka nane kutuaminisha ufisadi wa Lowassa? Nini kilitokea 2015? Bado unamuamini tu!!?
 
Ungejua makato yameongezeka sana hata usingeongea

Kutoka pesa imetoka 800-1100+ ATM
 
Ukikaa na kusikiliza watu unaweza kufikiri Tanzania ilisimama kwa miaka 5 na hakuna kilichofanyika lakini uchumi unaongea tofauti.

Bank ya crdb imetoa taarifa ya faida kwa miaka 5 iliyopita, faida imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 300.

2018 Bilioni 64
2019 Bilioni 120
2020 Bilioni 165
2021 Bilioni 268

Hizi za NMB.
2021 Bilioni 291
2020 Bilioni 210
2019 Bilioni 144
2018 Bilioni 100.

Kipindi kile cha Magufuli watu wakawa wanasema anapika dataz benki zinalazimishwa kupika data ila sasa hivi sisikii hizo hadithi.

Unajiuliza kama biashara zilikua zimekufa na kufungwa, banki hizo faida zimetoa wapi?

Faida ya benki inatokana na biashara za mikopo. Sasa kama biashara zimekufa, banki zilikua zinakopesha majini na kutengeneza faida?

Mqguli alikuwa zaidi ya sheitwani hata umtetetea ukiwa kuchi bado anabaki kuwa sheitwani. Wapi Ben saanane, wapi azoru gwanda na viloba vya miili cocobeach
 
Hata Gawio la Hisa mwaka huu limeongezeka tofauti na miaka miwili nyuma. Kwa sisi wanahisa wa CRDB tumelamba mgao wa Tsh. 36 kwa kila hisa moja.

Hivyo tulionunua hisa nyingi tumelamba posho nzuri.
 
Mqguli alikuwa zaidi ya sheitwani hata umtetetea ukiwa kuchi bado anabaki kuwa sheitwani. Wapi Ben saanane, wapi azoru gwanda na viloba vya miili cocobeach
Vp we ulikufa akina ulimboka na Absalom kibanda walitifuliwa na magufuli eti we kiroboto jike
 
Ukikaa na kusikiliza watu unaweza kufikiri Tanzania ilisimama kwa miaka 5 na hakuna kilichofanyika lakini uchumi unaongea tofauti.

Bank ya crdb imetoa taarifa ya faida kwa miaka 5 iliyopita, faida imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 300.

2018 Bilioni 64
2019 Bilioni 120
2020 Bilioni 165
2021 Bilioni 268

Hizi za NMB.
2021 Bilioni 291
2020 Bilioni 210
2019 Bilioni 144
2018 Bilioni 100.

Kipindi kile cha Magufuli watu wakawa wanasema anapika dataz benki zinalazimishwa kupika data ila sasa hivi sisikii hizo hadithi.

Unajiuliza kama biashara zilikua zimekufa na kufungwa, banki hizo faida zimetoa wapi?

Faida ya benki inatokana na biashara za mikopo. Sasa kama biashara zimekufa, banki zilikua zinakopesha majini na kutengeneza faida?

Watu wanawivuuu tu na unafiki
 
Ona 21 zilivyokua kwa kasi.
Nmb mwendazake aliifanya iwe benk kuu no 2
 
Vp we ulikufa akina ulimboka na Absalom kibanda walitifuliwa na magufuli eti we kiroboto jike
Mi mwenyewe kidogo nifikiwe Mana lengo ilikuwa kumuua kila mtu anayekosoa. Hata jk alikoswakoswa tu kwa sabau Ni mtu wa watu walimtonya
 
Chadema wanamchukia hayati Magufuli bila sababu

MAITI Sita Zakutwa Zikielea Kwenye Mto Ruvu Bagamoyo Huku Zikiwa Zimeoza Vibaya

December 08, 2016 Mauaji No comments

1653217614014.png
 
Zile zilikua propaganda za wezi mkuu waliminywa mno.

Kwa sasa wanajiachia hivyo hutasikia kelele za aina yeyote ile.

Mfano mwingine ni exports mwaka 2019 zilikua juu sana ila kwa sasa zimeshuka lakini hawa majangili hawatalizungumzia hilo.

Exports mwaka 2019 zilifikia dola bilioni 9.7 pato la juu kabisa katika historia ya Taifa letu.

Ila hao majamaa maongo maongo hayatasema.
Majangila Kama Akina Zito. Mpuuzi Yule Mdini Sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukikaa na kusikiliza watu unaweza kufikiri Tanzania ilisimama kwa miaka 5 na hakuna kilichofanyika lakini uchumi unaongea tofauti.

Bank ya crdb imetoa taarifa ya faida kwa miaka 5 iliyopita, faida imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 300.

2018 Bilioni 64
2019 Bilioni 120
2020 Bilioni 165
2021 Bilioni 268

Hizi za NMB.
2021 Bilioni 291
2020 Bilioni 210
2019 Bilioni 144
2018 Bilioni 100.

Kipindi kile cha Magufuli watu wakawa wanasema anapika dataz benki zinalazimishwa kupika data ila sasa hivi sisikii hizo hadithi.

Unajiuliza kama biashara zilikua zimekufa na kufungwa, banki hizo faida zimetoa wapi?

Faida ya benki inatokana na biashara za mikopo. Sasa kama biashara zimekufa, banki zilikua zinakopesha majini na kutengeneza faida?

Naomba uangalie gap ya mwaka 2021 na miaka ya hapo nyuma ndio uje kuharisha hapa.👇

Screenshot_20220520-083539.png
 
Ukikaa na kusikiliza watu unaweza kufikiri Tanzania ilisimama kwa miaka 5 na hakuna kilichofanyika lakini uchumi unaongea tofauti.

Bank ya crdb imetoa taarifa ya faida kwa miaka 5 iliyopita, faida imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 300.

2018 Bilioni 64
2019 Bilioni 120
2020 Bilioni 165
2021 Bilioni 268

Hizi za NMB.
2021 Bilioni 291
2020 Bilioni 210
2019 Bilioni 144
2018 Bilioni 100.

Kipindi kile cha Magufuli watu wakawa wanasema anapika dataz benki zinalazimishwa kupika data ila sasa hivi sisikii hizo hadithi.

Unajiuliza kama biashara zilikua zimekufa na kufungwa, banki hizo faida zimetoa wapi?

Faida ya benki inatokana na biashara za mikopo. Sasa kama biashara zimekufa, banki zilikua zinakopesha majini na kutengeneza faida?

Mwaka 2018 faida CRDB Mwaka mzima ni 64Bil
Mwaka 2022 faida CRDB Robo Mwaka ni 90Bil

Huoni tofauti mkuu?

Screenshot_20220522-154202_Chrome.jpg
 
Wewe akili huna na huelewi tofauti ya dividend na profit after tax.

Rudi shule ujielimishe zaidi ndio uje tujadiliane hapa.
Wewe ndio akili huna na kilaza mkubwa,angalia hiyo profit difference ya mwaka 2021 na Miaka ya Jiwe afu uje kuharisha tena.
 
Back
Top Bottom