Kama biashara zilikufa na kufungwa miaka 5 iliyopita, hizi faida za mabenki zilitoka wapi?

Kama biashara zilikufa na kufungwa miaka 5 iliyopita, hizi faida za mabenki zilitoka wapi?

Zito alipaswa kuzikwa na mama yake kwanza ili tuhakikishe kweli kwamba ukifiwa na mpendwa wako unapaswa uzikwe nae, ama zito alikua hampendi mama yake?
Hapana umechanganya dawa, mambo yapo hivi: Ukimpenda chizi na akafariki unapaswa na wewe kufa ili uzikwe naye.
 
hutaki kuamini kama Jiwe aliua biashara?

Jiwe hakuua bihashara,hacha kuchonganisha ujinga wako,alichokifanya alizibiti wale watakatisha Pesa na wakwepa kodi.....na ndio walio wengi mana wana kopa kwenye mabenki wanaweza kulipa madeni ya benk ila hawalipi kodiii!,So ilipokuja ishu ya kulipa kodi mzigo wa kulipa kwa wafanya bihashara wa namna hiyo walikimbia,Mfano mzuri Bakhresa alikuwa hajalipa kodi mpaka Billion 81.
 
wewe hujui kuandika rudi shule kwanza. bihashara, hacha,zibiti ndio madudu gani. Shule ulisomea ujinga?
 
Mmh! Thubutu. Mwenyekiti Mbowe ndiye wa kwanza kuulaani utawala wa jiwe. Ndiye aliyehutubia taifa kwa kusema "Never and Never Again".
. Upo hapo ewe sukuma gang?

Chama kimejaaa wamachame,Chama kile ni wakabira,wamejazana wachaga watupu mle!!!
 
Mleta mada nikukumbushe tu,
kuna ile uchumi kumilikiwa na watu wachache,na uchumi kumilikiwa na watu wote waliomo ndani ya taifa husika
Sisi watanzania kilio chetu ilikuwa ni kwamba pesa hazikuwa mifukoni mwetu,ziliwekwa kapuni na makapu yenyewe benki ni miongoni!
 
Mmh! Thubutu. Mwenyekiti Mbowe ndiye wa kwanza kuulaani utawala wa jiwe. Ndiye aliyehutubia taifa kwa kusema "Never and Never Again".
. Upo hapo ewe sukuma gang?
Twambie wa kwanza kumnaga lowasa alikua nani na wa kwanza kumuuza na kumsafisha kwa dodoki alikua nani?
Baada ya hapo ukipata jibu uacha e kutumia tako, utumie kichwa.
 
Back
Top Bottom