Hapana umechanganya dawa, mambo yapo hivi: Ukimpenda chizi na akafariki unapaswa na wewe kufa ili uzikwe naye.Zito alipaswa kuzikwa na mama yake kwanza ili tuhakikishe kweli kwamba ukifiwa na mpendwa wako unapaswa uzikwe nae, ama zito alikua hampendi mama yake?
Wewe uwezo wa kujadiliana na mimi hiyo akili huna.Wewe ndio akili huna na kilaza mkubwa,angalia hiyo profit difference ya mwaka 2021 na Miaka ya Jiwe afu uje kuharisha tena.
Jibu swali ,niletee difference ya profit 2021 na Miaka ya nyuma ya JiweWewe uwezo wa kujadiliana na mimi hiyo akili huna.
Rudi shule ujifunze zaidi.
hutaki kuamini kama Jiwe aliua biashara?
wewe hujui kuandika rudi shule kwanza. bihashara, hacha,zibiti ndio madudu gani. Shule ulisomea ujinga?Jiwe hakuua bihashara,hacha kuchonganisha ujinga wako,alichokifanya alizibiti wale watakatisha Pesa na wakwepa kodi.....na ndio walio wengi mana wana kopa kwenye mabenki wanaweza kulipa madeni ya benk ila hawalipi kodiii!,So ilipokuja ishu ya kulipa kodi mzigo wa kulipa kwa wafanya bihashara wa namna hiyo walikimbia,Mfano mzuri Bakhresa alikuwa hajalipa kodi mpaka Billion 81.
Mmh! Thubutu. Mwenyekiti Mbowe ndiye wa kwanza kuulaani utawala wa jiwe. Ndiye aliyehutubia taifa kwa kusema "Never and Never Again".
. Upo hapo ewe sukuma gang?
wewe hujui kuandika rudi shule kwanza. bihashara, hacha,zibiti ndio madudu gani. Shule ulisomea ujinga?
Twambie wa kwanza kumnaga lowasa alikua nani na wa kwanza kumuuza na kumsafisha kwa dodoki alikua nani?Mmh! Thubutu. Mwenyekiti Mbowe ndiye wa kwanza kuulaani utawala wa jiwe. Ndiye aliyehutubia taifa kwa kusema "Never and Never Again".
. Upo hapo ewe sukuma gang?