Kama binadamu wa kwanza alikuwa mweupe, watu weusi wametoka wapi?


mmung ni nani?

Una ushahidi wowote kusindikiza maneno uliyoongea? Huyo mmung anapatikana wapi mana hata google sidhani kama inamjua mkuu
 
Mtu mweusi ameanzia kwa YAKOBO. ukisoma maandiko Esau na yakobo walikuwa na tofauti ya rangi, asili ya Esau ni mweupe na Yakobo ni mweusi. Soma uzao wa YAKOBO na ESAU ndipo utabaini chanzo cha mtu mweusi.
 
Mwanzo. 25:25
Wa kwanza akazaliwa nae alikua mwekundu kama vazi la kichwani mwake, naye wakamwita jina Esau
 

Nimeikubali hiyo kutibu bado hiyo dawa ipo hapa kwangu kwa watu wanaosumbuliwa na kichwa kuuma kupita maelezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…