Escardo-bird
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 622
- 224
you better take a note in genetic mutation
Yes Sir i've taken good note and got dis " Acquired (or somatic) mutations occur in the DNA of individual cells at some time during a persons life.
These changes can be caused by environmental factors such as ultraviolet radiation from the sun, or can occur if a mistake is made as DNA copies itself during cell division.
Acquired mutations in somatic cells (cells other than sperm and egg cells) cannot be passed on to the next generation.

seen the possibility??
i didn't see the it cannot be passed to the next generation.zipo sababu tofauti zinazoleta GM environmental,chemical na vingine.na sio zote haziwezi kuwa passed down to offsprings.mfano mzuri ni watu wa Hiroshima na Nagasaki.hebu jiulize what did happen mpaka baadhi vizazi vyao vina mapungufu(ulemavu)....mifano iko mingi na hata vitabu vinasema kuwa
baadhi zinarithika.
Wat possibility buddy? Coz hiyo envt change itafanya mtu abadilike yeye kama yeye siyo kizazi chake so kama ingekua ivo wanaozaliwa ulaya ambako mazingira/climate siyo sawa na africa au australia as u said mwanzo wasingekua weusi, cjui tunaelewana.
Ni kweli kabisa Adam na Eva hawakuwa " WEUSI" kwa sababu kundi la weusi limeanzishwa mwaka jana tu, na Adam na Hawa waliishi miaka elfu saba iliyo pita.
ila acheni kutoa majibu mepesi kwa maswali mazito ni swali ambalo lipo kwa watu wengi hli. mawazo yangu ikiwa evoluation husababishwa na experience pamoja na hali ya hewa na vitu mfano wa hvyo lakini "kuna wazungu kizaz na kizaz wapo africa mbona hawaja badilika ikiwa joto la jua linaongeza melanin pigment basi waarabu ndo wangekua weusi " "mtaani kwetu kuna mtoto ana macho ya blue kama mzungu na hana mzazi mwenye macho hayo vp kuhusu genetics" kwa waislam 2naamini kuwa mabadiliko ya vzaz ni kadari ya mungu ingawa wanasema eti "bilieve is the end of thnking" but we have believe
Owky mkuu lets conclude by agreeing to disagreeing eachother!
kwani albino anaweza kuwa kawaida kutokana na mazingira?
very poor conclusion.mimi siwezi hivyo.labda turudi hapa katika mfumo swali.unaamini kama baadhi ya mabadiliko huweza kuwa passed down???
gene ndo kila kitu kwa albino ila kuna vtu ni beyound the science si kila kitu binadam ana majibu nacho kuna muda tunapaswa kusema qadari
gene ndo kila kitu kwa albino ila kuna vtu ni beyound the science si kila kitu binadam ana majibu nacho kuna muda tunapaswa kusema qadari
Kaka usipokubali kutofautiana kimtazamo utakua unakosea kila mtu anajua anavoamini and huwezi kumshawishi kila mtu akubaliane na ww binafsi sijakubaliana na ww kimtazamo dats y nime backoff.
vipi kama nikisema gene ndio kila kitu kwa mwafrika kwanin isiwe hivyo??
vipi kama nikisema gene ndio kila kitu kwa mwafrika kwanin isiwe hivyo?? vipi albino(homozygous) akikutana na homozygous mwenzie?? wanaweza kuzaa mweusi?? hii n sawa na mzungu kwa mzungu.vipi mzungu akikutana na mwafrika??