Kama Bucha za nyamapori zimeruhusiwa, kwanini Pembe za ndovu zenye thamani ya bilioni 186 zisiuswe?

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,516
Reaction score
14,186
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Serikali ya Tanzania imetunza na kuhifadhia shehena ya pembe za ndovu zenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 186.

Shehena hii imekamatwa kutoka kwa majangili kwa miaka mingi Sasa ila imewekwa tuu bila sababu zenye mashiko kwa kisingizio cha kulinda uhifadhi na kwamba kuuza ni kuhamasisha ujangili.

Sidhani kama hii ni hoja yenye mashiko ikiwa Serikali inatuhusu uwindaji wa Wanyamapori kibiashara na imeanzisha mabucha ya nyama pori mikoa mbalimbali.

Sasa tumekaa na mali ya mabilioni yote hayo kwa sababu zipi hasa?

Naishauri Serikali iuze hizo pembe za ndovu na pesa itakayopatikana itumike kuunda Mamlaka Maalumu ya Uhifadhi na Fidia kwa wanaoathiriwa na Wanyamapori kwa kuuwawa na wanyama ama kuharibiwa kwa Mazao yao.

Nchi ya Zimbabwe imetangaza kuuza shehena yake kwa ajili ya kupata pesa za uhifadhi na mambo mengine, Tanzania tunakwama wapi?

Screenshot_20220530-200656.png
 
Hizo tuzitunze tu, kwani kwa hali ilivyo hivi sasa si muda mrefu kutatokea window ya kuuza pembe za ndovu kwani sasa hivi tembo wamezaliana kwa wingi na wamehama porini na kuvamia makazi ya watu kisha kula mazao yao nk. naamini kadri siku zinavyoenda vyombo husika vitaona namna bora ya kuwapunguza vinginevyo binadamu ndiyo watakaoisha badala ya wanyama.
 
Sasa tunakalia mabilioni huku watu wanapata tabu Mzee?

Tunatunza za nini?
 
Hilo sio suala la nchi kuamua kuuza au laa, bali , kuna mkataba wa UN, ndio umepiga marufuku biashara hiyo, duniani kote, na tatizo liko kwenye baadhi ya nchi za kiafrika wao walishaziteketeza mfano KENYA, mwaka 2019, leo uje uruhusu wengine waziuze italeta shida.Na ni china na japan ndio wanapinga sana usitishwaji wake, lakini wakubwa wamegoma(USA, EU).
na ni gharama sana kuyatunza .
 
Najua ila lazima Nchi iamue na iwashawishi hao members wengine ndio maana Zimbabwe iko inafanya kampeni Ili iruhusiwe kuuza shehena yake..

Pili nimeona Nchi za kiafrica zinasema West waache kuwaingilia kwenye masuala ya Uhifadhi na wasifindishwe jinsi ya kuhifadhi.
 
Hizo tuzitunze tu, kwani kwa hali ilivyo hivi sasa si muda mrefu kutatokea window ya kuuza pembe za ndovu kwani sasa hivi tembo wamezaliana kwa wingi na wamehama porini na kuvamia makazi ya watu kisha kula mazao yao nk. naamini kadri siku zinavyoenda vyombo husika vitaona namna bora ya kuwapunguza vinginevyo binadamu ndiyo watakaoisha badala ya wanyama.
Sio rahisi kama unavyofikiria mkuu!!yaani hilo la tembo kuvamia makazi ya watu ni kipimo kuwa eti wako wengi sana?!!hahaaaa,
 
Najua ila lazima Nchi iamue na iwashawishi hao members wengine ndio maana Zimbabwe iko inafanya kampeni Ili iruhusiwe kuuza shehena yake..

Pili nimeona Nchi za kiafrica zinasema West waache kuwaingilia kwenye masuala ya Uhifadhi na wasifindishwe jinsi ya kuhifadhi.
Zinasema tu lakini hao wazungu ndio wafadhiri wakubwa kwenye mambo ya uhifadhi hasa lile shirika la kijerumani.Hiyo kampeni hata hapa kuna kipindi ilifanyika lakini haikuzaa matunda, Kenya walikuja juu eti mbona yao wameyateketeza?
 
Tunaweza kutumia pesa tutakayopata kuunda mfuko wa uhifadhi
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Serikali ya Tanzania imetunza na kuhifadhia shehena ya pembe za ndovu zenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 186.

Shehena hii imekamatwa kutoka kwa majangili kwa miaka mingi Sasa ila imewekwa tuu bila sababu zenye mashiko kwa kisingizio cha kulinda uhifadhi na kwamba kuuza ni kuhamasisha ujangili.

Sidhani kama hii ni hoja yenye mashiko ikiwa Serikali inatuhusu uwindaji wa Wanyamapori kibiashara na imeanzisha mabucha ya nyama pori mikoa mbalimbali.

Sasa tumekaa na mali ya mabilioni yote hayo kwa sababu zipi hasa?

Naishauri Serikali iuze hizo pembe za ndovu na pesa itakayopatikana itumike kuunda Mamlaka Maalumu ya Uhifadhi na Fidia kwa wanaoathiriwa na Wanyamapori kwa kuuwawa na wanyama ama kuharibiwa kwa Mazao yao.

Nchi ya Zimbabwe imetangaza kuuza shehena yake kwa ajili ya kupata pesa za uhifadhi na mambo mengine, Tanzania tunakwama wapi?

View attachment 2245762
Kwahiyo bàada ya yule JANGILI kurudi amekutuma na Ule mzigo wa stock muuze!!!! Unajua kwann unatunzwa???
 
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Serikali ya Tanzania imetunza na kuhifadhia shehena ya pembe za ndovu zenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 186.

Shehena hii imekamatwa kutoka kwa majangili kwa miaka mingi Sasa ila imewekwa tuu bila sababu zenye mashiko kwa kisingizio cha kulinda uhifadhi na kwamba kuuza ni kuhamasisha ujangili.

Sidhani kama hii ni hoja yenye mashiko ikiwa Serikali inatuhusu uwindaji wa Wanyamapori kibiashara na imeanzisha mabucha ya nyama pori mikoa mbalimbali.

Sasa tumekaa na mali ya mabilioni yote hayo kwa sababu zipi hasa?

Naishauri Serikali iuze hizo pembe za ndovu na pesa itakayopatikana itumike kuunda Mamlaka Maalumu ya Uhifadhi na Fidia kwa wanaoathiriwa na Wanyamapori kwa kuuwawa na wanyama ama kuharibiwa kwa Mazao yao.

Nchi ya Zimbabwe imetangaza kuuza shehena yake kwa ajili ya kupata pesa za uhifadhi na mambo mengine, Tanzania tunakwama wapi?

View attachment 2245762
Hizi tusichome moto tu ili kuunga mkono juhudi za WWF ambayo kwa miongo miwili sasa wamefanya juhudi nyingi sana katika kudhibiti biashara haramu ya pembe za faru na meno ya tembo.

Miaka 20 ikiyopita idadi ya tembo na faru ilikuwa Ina face extinction. Hivyo basi dawa pekee ya kupambana na majangiri ikawa ni kudhibiti soko.
 
Huo ni wehu.Kuchoma moto kunazuiaje ujangili?

Uchome pesa wakati una mahitaji kwenye jamii zinazopakana na Hifadh..

Itakuwa akili au matope?
 
Back
Top Bottom