Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Na unajua ya kwamba "majirani" Kenya mpaka leo wanalalamika kwanini hatuchomi pembe zetu kama walivyofanya wao? Na nahisi hizo procedures zinakuwa ngumu kwasababu ya majirani.Yapo lakini kuna procedures za kufuata na kuuza