Na unajua ya kwamba "majirani" Kenya mpaka leo wanalalamika kwanini hatuchomi pembe zetu kama walivyofanya wao? Na nahisi hizo procedures zinakuwa ngumu kwasababu ya majirani.