Kama Bunge lingevunjwa jana, leo ilikuwa ni majonzi makubwa kwa CHADEMA

Kama Bunge lingevunjwa jana, leo ilikuwa ni majonzi makubwa kwa CHADEMA

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
8,746
Reaction score
5,772
Hapo awali ratiba za bunge ilikuwa livunjwe may 28 na mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Lakini habari za uhakika ndani ya Chadema ni kuwa kuna wabunge na wanachama wengi wanasubili Bunge livunjwe ili wahame na kukiacha chama kinachomilikiwa na mtu mmoja

Mbali ya hayo kimekuwa na shutuma nyingi mbaya za ufisadi na matumizi mabaya ya pesa. Jambo ambalo wengi wa wanachama inabidi wakae kimya ila safari hii wamechoka na bunge likivunjwa kila mtu atatimka kwenda Nccr Mageuzi au Ccm

Pamoja na hayo Mungu atulinde likivunjwa baada ya tarehe 11 mwezi wa tano itakuwa ni mshikemshike na watakaobaki watabaki kugawana meza na viti vya ofisi maana October hawapati hata diwani mmoja
 
Majonzi Gani zaidi ya wasaliti, wachumia tumbo na wahuni kukimbia? Tulishauri Sana reform kuwa na watu waaminifu na watiifu ni moja ya njia ya kuwa chama bora tunataka kuona wapuuzi wote wakiondoka. uje uone upepo utakavyokuwa kwenye uchaguzi watanzania sio wajinga kivile.

Yaani mnafikiri mtawanunua wananchi? mnachekesha kweli nunueni wahuni wapiga pesa kwanza wangekuwa wanajitambua watakavyokuja kubwagwa uko waendako hata wasingethubutu. tuendelee kuwepo muda ni mwalimu.
 
CHADEMA 4 life.. Chama la wana
tapatalk_1590166850924.jpg


Jr[emoji769]
 
Achana na hayo ya kufikirika, wenye mamlaka wanajiuliza lijalo kuhusu huyu mtu litavuruga chama kwa kiasi gani na kuwaaibisha wakubwa namna gani.
Au hamna taarifa? Subirini mtajua tuu! Maana nyie vuvuzela hamjajui ya ndani mpaka mpewe kuimba.
IMG_20200529_130830.jpg
IMG_20200529_182328.jpg
 
Majonzi Gani zaidi ya wasaliti, wachumia tumbo na wahuni kukimbia? Tulishauri Sana reform kuwa na watu waaminifu na watiifu ni moja ya njia ya kuwa chama bora tunataka kuona wapuuzi wote wakiondoka. uje uone upepo utakavyokuwa kwenye uchaguzi watanzania sio wajinga kivile.

Yaani mnafikiri mtawanunua wananchi? mnachekesha kweli nunueni wahuni wapiga pesa kwanza wangekuwa wanajitambua watakavyokuja kubwagwa uko waendako hata wasingethubutu. tuendelee kuwepo muda ni mwalimu.
Mkuu acha kujifariji. Hivi kweli chadema ya sasa ishindane na CCM ya sasa kweli?
 
Sumu mliomlisha mzee Mangula, itawaaibisha sana wauwaji wakubwa nyinyi. Kikao cha watu wachache tu na bado mzee kalishwa sumu. Upelelezi ziiiiiii majibu ziiiiiiiiii kimyaaaaaaaa. Dhambi ya uuwaji haitawaacha salama MUNGU ANAONA YOTE
 
Maelezo tafadhali
Ayatoe wapi? Zaidi ya kuanzisha Uzi ili siku isome na alipwe buku saba! Kiuhalisia ccm ipo chali na inasogezewa ventilator Kika baada ya saa moja ili kuiokoa! Huyo mleta hoja aliwaona watu wa kongwa walichokifanya mbele ya mwenyekiti wao. Yaani walimpa makavu na hakuogopa like gwanda alilotimba!
 
Hawa jamaa wanalazimisha kuwa Chadema kuna mpasuko wakati mpasuko uko kwao hadi wana mtwanga #2 wao kwa poison tena sio kwa mpango wa kitoto bali kama agenda ya kikao
Subiria kwenye kupitisha wagombea ndio utaelewa mwenyekiti anataka majina yake wanachama nao yao hapo patamu
 
Sumu mliomlisha mzee Mangula.itawahaibisha sana wauwaji wakubwa nyinyi. Kikao cha watu wachache tu na bado mzee kalishwa sumu. Upeleleziiiiiiiiiiii ziiiiiiiiiiiiii majibu ziiiiiiiiiiiiii kimyaaaaaaaaaaaaaa. Dhambi ya uuwaji haitawaacha salama MUNGU ANAONA YOTE
Kuna suala la sumu la Membe, na wahamiaji haramu kushika nafasi za asilia hapa ni patamu. Siasa za kusini zinamuhitaji Membe na nape ili kunusuru chama.

Mwigulu karudishwa ili aje asaidie Kama ilivo 2015. Ngoja tuone watakavoyacheza haya mawimbi.
 
Matendo ya CCM ya awamu hii ndio yamechangia kukua kwa upinzani nchini. Hakuna aliyewahi pambana na watu akaweza zaidi ya kuishia kuukimbiza upepo
 
Hahah Endelea kujifariji, kudadeki na 2025 kinakuja chuma kingine
Achana na hayo ya kufikirika, wenye mamlaka wanajiuliza lijalo kuhusu huyu mtu litavuruga chama kwa kiasi gani na kuwaaibisha wakubwa namna gani.
Au hamna taarifa? Subirini mtajua tuu! Maana nyie vuvuzela hamjajui ya ndani mpaka mpewe kuimba.View attachment 1462853View attachment 1462854
 
Mkuu acha kujifariji. ivi kweli chadema ya sasa ishindane na ccm ya sasa kweli?
mngekuwa wema kiasi hicho Sumu ya nini mkamlisha mzee Mangula wauwaji nyinyi
Kuna suala la sumu,la membe, na wahamiaji haramu kushika nafasi za asilia hapa ni patamu .Siasa za kusini zinamuhitaji membe na nape ili kunusuru chama.
Mwigulu karudishwa ili aje asaidie Kama ilivo 2015.Ngoja tuone watakavoyacheza haya mawimbi.
Kabisa mkuu
 
Majonzi Gani zaidi ya wasaliti, wachumia tumbo na wahuni kukimbia? Tulishauri Sana reform kuwa na watu waaminifu na watiifu ni moja ya njia ya kuwa chama bora tunataka kuona wapuuzi wote wakiondoka. uje uone upepo utakavyokuwa kwenye uchaguzi watanzania sio wajinga kivile.

Yaani mnafikiri mtawanunua wananchi? mnachekesha kweli nunueni wahuni wapiga pesa kwanza wangekuwa wanajitambua watakavyokuja kubwagwa uko waendako hata wasingethubutu. tuendelee kuwepo muda ni mwalimu.
Reforms kubwa kabla ya kuwaondoa hao wasaliti. Mlitakiwa mumuondoe mwamba anaekinyonya chama kwa mrija.
 
Majonzi Gani zaidi ya wasaliti, wachumia tumbo na wahuni kukimbia? Tulishauri Sana reform kuwa na watu waaminifu na watiifu ni moja ya njia ya kuwa chama bora tunataka kuona wapuuzi wote wakiondoka. uje uone upepo utakavyokuwa kwenye uchaguzi watanzania sio wajinga kivile.

Yaani mnafikiri mtawanunua wananchi? mnachekesha kweli nunueni wahuni wapiga pesa kwanza wangekuwa wanajitambua watakavyokuja kubwagwa uko waendako hata wasingethubutu. tuendelee kuwepo muda ni mwalimu.
Kwa hiyo huyo mnayemlipa madeni hewa sio mpiga pesa? Namaanisha mwenyekiti wa Chadema. Halafu wengi watahama sababu wamemchoka
 
Back
Top Bottom