Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
- Thread starter
- #41
Tulia wewe saa sita usiku hujalala, badala kutulia ushughulikiwe.Mataga mnahangaika sana. Na bado
Tulia wewe saa sita usiku hujalala, badala kutulia ushughulikiwe.Mataga mnahangaika sana. Na bado
Hata kichaa hawezi kuamini.Nakupa tu mfano mdogo mdogo wangu wa damu ni chadema kadi yake ni ya 5,670,000 ya mwaka 2018 nimeaproxmate hyo kadi na mama yangu ni Ccm kadi yake ameipata january mwaka huu 2020 ni ya 4,470,000 nimeaproxmate pia. maana yake nini idadi ya wanachama wa chadema wenye kadi wa mwaka 2018 ni kubwa kuliko ya ccm wa mwaka huu?
Mimi siyo mwanasiasa lakini ninavyo ona Chadema inakwenda kuimarika tofauti na watu wanavyopiga ramli chonganishi Kama hiziHapo awali ratiba za bunge ilikuwa livunjwe may 28 na mh rais wa JMT.
Lakini habari za uhakika ndani ya Chadema ni kuwa kuna wabunge na wanachama wengi wanasubili Bunge livunjwe ili wahame na kukiacha chama kinachomilikiwa na mtu mmoja.
Mbali ya hayo kimekuwa na shutuma nyingi mbaya za ufisadi na matumizi mabaya ya pesa. Jambo ambalo wengi wa wanachama inabidi wakae kimya ila safari hii wamechoka na bunge likivunjwa kila mtu atatimka kwenda Nccr Mageuzi au Ccm.
Pamoja na hayo Mungu atulinde likivunjwa baada ya tarehe 11 mwezi wa tano itakuwa ni mshikemshike na watakaobaki watabaki kugawana meza na viti vya ofisi maana October hawapati hata diwani mmoja.
Subiri matokeo.Mimi siyo mwanasiasa lakini ninavyo ona Chadema inakwenda kuimarika tofauti na watu wanavyooiga ramli chonganishi Kama hizi
Nchi hii si Mali ya vyama vyenu ni Mali yet sote acheni ubinafsiSubiri matokeo.
Subiri matokeoNchi hii si Mali ya vyama vyenu ni Mali yet sote acheni ubinafsi
Wale Ccm na serikali yake ilio wapandikiza kwenye chama ili kukiua Chadema wamegundua intelijensia ya Chadema ni kubwa haiwezi kuuawa na wajinga. Sasa wana rudi nyumbani. Poleni maana mission aborted.. Mtoto si riziki..Hapo awali ratiba za bunge ilikuwa livunjwe may 28 na mh rais wa JMT.
Lakini habari za uhakika ndani ya Chadema ni kuwa kuna wabunge na wanachama wengi wanasubili Bunge livunjwe ili wahame na kukiacha chama kinachomilikiwa na mtu mmoja.
Mbali ya hayo kimekuwa na shutuma nyingi mbaya za ufisadi na matumizi mabaya ya pesa. Jambo ambalo wengi wa wanachama inabidi wakae kimya ila safari hii wamechoka na bunge likivunjwa kila mtu atatimka kwenda Nccr Mageuzi au Ccm.
Pamoja na hayo Mungu atulinde likivunjwa baada ya tarehe 11 mwezi wa tano itakuwa ni mshikemshike na watakaobaki watabaki kugawana meza na viti vya ofisi maana October hawapati hata diwani mmoja.
Kwani wewe umelazimishwa kuusoma au kuchangia. Au maumivu yankusumbua. Na huna mamlaka ya kunipangia nitoe maoni gani.
Nasisitiza kuwa Nccr mageuzi sio sababu ya kunipangia cha kuandika. Natoa maoni kwa mujibu wa katiba ya JMT,ibara ya 18. Na mimi sio pinga pinga. Kama Ccm inafanya vizuri mimi nasema ukweli.Wala sikuzuii unaweza kuchangia chochote, ila sioni ukianzisha nyuzi za hicho chama ulichojifanya imehamia, au hiki ulichoko mpaka sasa. Huo ni uthibitisho kuwa uko sehemu zisizo na mvuto, bali vinavyoshurutisha kukubalika.
Haka kajamaa kapumbavu kweli na kanajiona kamafya sana. Wakati Lissu yupo Ubelgiji nako eti kakaenda huko ili kajipenyeze tukawa tunakafuatilia tunakaambi hiiiiiiii. Kaambie tutakanyoosha huo mgongo uliopinda kama 7Achana na hayo ya kufikirika, wenye mamlaka wanajiuliza lijalo kuhusu huyu mtu litavuruga chama kwa kiasi gani na kuwaaibisha wakubwa namna gani.
Au hamna taarifa? Subirini mtajua tuu! Maana nyie vuvuzela hamjajui ya ndani mpaka mpewe kuimba.View attachment 1462853View attachment 1462854
Nasisitiza kuwa Nccr mageuzi sio sababu ya kunipangia cha kuandika. Natoa maoni kwa mujibu wa katiba ya JMT,ibara ya 18. Na mimi sio pinga pinga. Kama Ccm inafanya vizuri mimi nasema ukweli.
Hapo awali ratiba za bunge ilikuwa livunjwe may 28 na mh rais wa JMT.
Lakini habari za uhakika ndani ya Chadema ni kuwa kuna wabunge na wanachama wengi wanasubili Bunge livunjwe ili wahame na kukiacha chama kinachomilikiwa na mtu mmoja.
Mbali ya hayo kimekuwa na shutuma nyingi mbaya za ufisadi na matumizi mabaya ya pesa. Jambo ambalo wengi wa wanachama inabidi wakae kimya ila safari hii wamechoka na bunge likivunjwa kila mtu atatimka kwenda Nccr Mageuzi au Ccm.
Pamoja na hayo Mungu atulinde likivunjwa baada ya tarehe 11 mwezi wa tano itakuwa ni mshikemshike na watakaobaki watabaki kugawana meza na viti vya ofisi maana October hawapati hata diwani mmoja.
Nccr mageuzi ina maovu gani? Mmesahau kuna wananachama wa Chada walipiga mawe prado la Nccr mageuzi? Na sasa wana kesi,hii ni picha gani?Nasema hivi, ww sio msifia mazuri bali ni mtetea uovu. Ndio maana umejikita zaidi kwenye kuijadili cdm na sio huko ulipo.
Subiri uone na wanachama wataohama. Ina maana hujaona yaliyotokea Tarime,Musoma na Bunda?Ambacho haukielewi ni kudhani kuwa mbunge ndio anatengeneza wanachama na wakati uhalisia ni kwamba wanachama ndio wanatengeneza mbunge. Mnachokosea ni kuwekeza nguvu katika kuchukua wabunge kwa kudhani ukichukua mbunge ndio umechukua na wanachama, hizi ni akili za Popo na mkumbuke kuwa wanachama wa CDM sio wanachama wa kufuata MTU kama ilivyokuwa kwa Lowassa bali hawa ni wanachama wa kufuata chama
Hakuna kitu hapo wewe, wanachama 13 mkoa mzima alafu unajisifia kuwa utaipiku chadema yenye wanachama 12,000,000 ?? huo ni upimbi mtuSubiri uone na wanachama wataohama. Ina maana hujaona yaliyotokea Tarime,Musoma na Bunda?
Kumbe ndio Carlos the Jackal wao? Sasa mbona kamumuwekea mzee wao under dose na wanaumbuka sasa?Haka kajamaa kapumbavu kweli na kanajiona kamafya sana. Wakati Lissu yupo Ubelgiji nako eti kakaenda huko ili kajipenyeze tukawa tunakafuatilia tunakaambi hiiiiiiii. Kaambie tutakanyoosha huo mgongo uliopinda kama 7