ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,557
Kuhama kumeanza siku nyingi lakini bado chadema imebaki kua tishio
Why?Hapo awali ratiba za bunge ilikuwa livunjwe may 28 na mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Lakini habari za uhakika ndani ya Chadema ni kuwa kuna wabunge na wanachama wengi wanasubili Bunge livunjwe ili wahame na kukiacha chama kinachomilikiwa na mtu mmoja
Mbali ya hayo kimekuwa na shutuma nyingi mbaya za ufisadi na matumizi mabaya ya pesa. Jambo ambalo wengi wa wanachama inabidi wakae kimya ila safari hii wamechoka na bunge likivunjwa kila mtu atatimka kwenda Nccr Mageuzi au Ccm
Pamoja na hayo Mungu atulinde likivunjwa baada ya tarehe 11 mwezi wa tano itakuwa ni mshikemshike na watakaobaki watabaki kugawana meza na viti vya ofisi maana October hawapati hata diwani mmoja
Unauliza jibu?Why?
Ukenya umeingiaje hapo?Aliezungushiwa duara!! ndio aliotumwa kumpa maji ya sumu Mangula? Umeelewa we mkenya????
Pumbav.Hapo awali ratiba za bunge ilikuwa livunjwe may 28 na mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Lakini habari za uhakika ndani ya Chadema ni kuwa kuna wabunge na wanachama wengi wanasubili Bunge livunjwe ili wahame na kukiacha chama kinachomilikiwa na mtu mmoja
Mbali ya hayo kimekuwa na shutuma nyingi mbaya za ufisadi na matumizi mabaya ya pesa. Jambo ambalo wengi wa wanachama inabidi wakae kimya ila safari hii wamechoka na bunge likivunjwa kila mtu atatimka kwenda Nccr Mageuzi au Ccm
Pamoja na hayo Mungu atulinde likivunjwa baada ya tarehe 11 mwezi wa tano itakuwa ni mshikemshike na watakaobaki watabaki kugawana meza na viti vya ofisi maana October hawapati hata diwani mmoja
Asshole.Pumbav.
Kumbe unajua wana mashamba tena Estate sijui wa chama chako na njaa zao watafanyaje!Livunjwe wabunge wa chadema warudi wakalime mapema
Nccr mageuzi ina maovu gani? Mmesahau kuna wananachama wa Chada walipiga mawe prado la Nccr mageuzi? Na sasa wana kesi,hii ni picha gani?
Naona kama unaweweseka. Hujuma gani? Kuna mwana Nccr mageuzi alipiga mawe magari yenu?Kwa taarifa yako ni kwakuwa cdm hawategemei kupata haki huko mahakamani, lakini kama cdm wangesema washitaki, rais wa nchi hii angekuwa ni mshitakiwa namba moja. Ni mamlaka ipi haijafanyia cdm hujuma, ni kiongozi gani wa umma haijaigeza cdm kama sehemu ya kupatia umaarufu?
Naona kama unaweweseka. Hujuma gani? Kuna mwana Nccr mageuzi alipiga mawe magari yenu?
Mimi sijaokoteza ila gari ilipigwa mawe na watu wa Chadema tena sio hujuma ni kosa la jinai. We hizo hujuma unazo mtuhumu hadi rais ni zipi?Nikianza kuweka hujuma walizofanyiwa cdm tena za wazi, na watanzania wote wanazijua, nitajaza server. Acha hizo zako za kuokoteza.
Mnapo chemsha ni hapo mkijibu kitu watanzania wote! Watanzania wote wapi?Nikianza kuweka hujuma walizofanyiwa cdm tena za wazi, na watanzania wote wanazijua, nitajaza server. Acha hizo zako za kuokoteza.
Mimi sijaokoteza ila gari ilipigwa mawe na watu wa Chadema tena sio hujuma ni kosa la jinai. We hizo hujuma unazo mtuhumu hadi rais ni zipi?
Zitaje sasa. Mbona unakuwa na kigugumizi.Hapa unauliza au unapigia jibu mstari?? Hizo hujuma ni zaidi ya jinai, rais kwako ni Mungu kwamba hawezi kuhusika na hujuma dhidi ya wapinzani wake?
Mnapo chemsha ni hapo mkijibu kitu watanzania wote! Watanzania wote wapi?
Zitaje sasa. Mbona unakuwa na kigugumizi.
Mh... Rais yeye ni kuchapa kazi hana muda wa kumfanyia mtu hujuma.Kigugumizi nakitoa wapi, mbona kila siku nazitaja hapa, au kigugumizi ndio kianzie hapa?
Mh... Rais yeye ni kuchapa kazi hana muda wa kumfanyia mtu hujuma.
We unaonaje?Kwani hao anaoagiza wahujumiwe ni wazururaji?
We unaonaje?