Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Hawa jamaa wanalazimisha kuwa Chadema kuna mpasuko wakati mpasuko uko kwao hadi wana mtwanga #2 wao kwa poison tena sio kwa mpango wa kitoto bali kama agenda ya kikao
Mkuu acha kujifariji. Hivi kweli chadema ya sasa ishindane na CCM ya sasa kweli?Majonzi Gani zaidi ya wasaliti, wachumia tumbo na wahuni kukimbia? Tulishauri Sana reform kuwa na watu waaminifu na watiifu ni moja ya njia ya kuwa chama bora tunataka kuona wapuuzi wote wakiondoka. uje uone upepo utakavyokuwa kwenye uchaguzi watanzania sio wajinga kivile.
Yaani mnafikiri mtawanunua wananchi? mnachekesha kweli nunueni wahuni wapiga pesa kwanza wangekuwa wanajitambua watakavyokuja kubwagwa uko waendako hata wasingethubutu. tuendelee kuwepo muda ni mwalimu.
Maelezo tafadhaliAchana na hayo ya kufikirika, wenye mamlaka wanajiuliza lijalo kuhusu huyu mtu litavuruga chama kwa kiasi gani na kuwaaibisha wakubwa namna gani.
Au hamna taarifa? Subirini mtajua tuu! Maana nyie vuvuzela hamjajui ya ndani mpaka mpewe kuimba.View attachment 1462853View attachment 1462854
Ayatoe wapi? Zaidi ya kuanzisha Uzi ili siku isome na alipwe buku saba! Kiuhalisia ccm ipo chali na inasogezewa ventilator Kika baada ya saa moja ili kuiokoa! Huyo mleta hoja aliwaona watu wa kongwa walichokifanya mbele ya mwenyekiti wao. Yaani walimpa makavu na hakuogopa like gwanda alilotimba!Maelezo tafadhali
Subiria kwenye kupitisha wagombea ndio utaelewa mwenyekiti anataka majina yake wanachama nao yao hapo patamuHawa jamaa wanalazimisha kuwa Chadema kuna mpasuko wakati mpasuko uko kwao hadi wana mtwanga #2 wao kwa poison tena sio kwa mpango wa kitoto bali kama agenda ya kikao
Kuna suala la sumu la Membe, na wahamiaji haramu kushika nafasi za asilia hapa ni patamu. Siasa za kusini zinamuhitaji Membe na nape ili kunusuru chama.Sumu mliomlisha mzee Mangula.itawahaibisha sana wauwaji wakubwa nyinyi. Kikao cha watu wachache tu na bado mzee kalishwa sumu. Upeleleziiiiiiiiiiii ziiiiiiiiiiiiii majibu ziiiiiiiiiiiiii kimyaaaaaaaaaaaaaa. Dhambi ya uuwaji haitawaacha salama MUNGU ANAONA YOTE
Kwa nguvu ya ushawishi bila polisi ccm Ina kundi gani kusema limenufaika kwa awamu hii.Mkuu acha kujifariji. ivi kweli chadema ya sasa ishindane na ccm ya sasa kweli?
Achana na hayo ya kufikirika, wenye mamlaka wanajiuliza lijalo kuhusu huyu mtu litavuruga chama kwa kiasi gani na kuwaaibisha wakubwa namna gani.
Au hamna taarifa? Subirini mtajua tuu! Maana nyie vuvuzela hamjajui ya ndani mpaka mpewe kuimba.View attachment 1462853View attachment 1462854
Aliezungushiwa duara!! ndio aliotumwa kumpa maji ya sumu Mangula? Umeelewa we mkenya????Maelezo tafadhali
mngekuwa wema kiasi hicho Sumu ya nini mkamlisha mzee Mangula wauwaji nyinyiMkuu acha kujifariji. ivi kweli chadema ya sasa ishindane na ccm ya sasa kweli?
Kabisa mkuuKuna suala la sumu,la membe, na wahamiaji haramu kushika nafasi za asilia hapa ni patamu .Siasa za kusini zinamuhitaji membe na nape ili kunusuru chama.
Mwigulu karudishwa ili aje asaidie Kama ilivo 2015.Ngoja tuone watakavoyacheza haya mawimbi.
Reforms kubwa kabla ya kuwaondoa hao wasaliti. Mlitakiwa mumuondoe mwamba anaekinyonya chama kwa mrija.Majonzi Gani zaidi ya wasaliti, wachumia tumbo na wahuni kukimbia? Tulishauri Sana reform kuwa na watu waaminifu na watiifu ni moja ya njia ya kuwa chama bora tunataka kuona wapuuzi wote wakiondoka. uje uone upepo utakavyokuwa kwenye uchaguzi watanzania sio wajinga kivile.
Yaani mnafikiri mtawanunua wananchi? mnachekesha kweli nunueni wahuni wapiga pesa kwanza wangekuwa wanajitambua watakavyokuja kubwagwa uko waendako hata wasingethubutu. tuendelee kuwepo muda ni mwalimu.
Kwa hiyo huyo mnayemlipa madeni hewa sio mpiga pesa? Namaanisha mwenyekiti wa Chadema. Halafu wengi watahama sababu wamemchokaMajonzi Gani zaidi ya wasaliti, wachumia tumbo na wahuni kukimbia? Tulishauri Sana reform kuwa na watu waaminifu na watiifu ni moja ya njia ya kuwa chama bora tunataka kuona wapuuzi wote wakiondoka. uje uone upepo utakavyokuwa kwenye uchaguzi watanzania sio wajinga kivile.
Yaani mnafikiri mtawanunua wananchi? mnachekesha kweli nunueni wahuni wapiga pesa kwanza wangekuwa wanajitambua watakavyokuja kubwagwa uko waendako hata wasingethubutu. tuendelee kuwepo muda ni mwalimu.